Hizo nchi za ulaya si za kikristo lkn Zina wafuasi wachache wakristo, na wengi wasiamini uwepo wa Mungu(ATHEIST), kiuhalisia ni nchi ambazo zinazoongoza kwa watu wasiofuata wala kuamini dini yoyote,
Nchi nyingi za ulaya hazina dini, kilichowafanya muamini ni watu wa dini fulan sababu kuu ni effects za utawala wa roma na hilo kanisa la Roma ambalo nalo liligawika na kuunda vijikanisa vidogo kama ulutheri, usabato na TAKATAKA zingine.
pia sababu nyingine ni kuwa ktk Sheria zao dini ya ukristo haipigwi vita sababu haina itikadi za hovyo za kulazimishana kuamini mambo fulan kama ilivyo dini ya uislam ambayo waumini wake Wana mihemko ya kuwahukumu wasiofuata taratibu za dini,
Sababu kuu ya kufanikiwa kucontrol itikadi Kali za kidini imesababishwa na elimu+Sheria za utu na uhuru wa mtu kuamini anachokipenda, tofauti na nchi ambazo mpaka Leo hii zinatumia Sheria za kitabu kilichoandikwa na wajinga wa mamia ya miaka iliyopita huku suala la UTU+UHURU wa mtu ukipigwa vita, kwa namna hii mifarakano, kusalitiana na kupigana kisa tofauti za misimamo ya kidini hakuwezi kuisha.