gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Kuna wakimbizi zaidi ya 3m wa syria uturuki,hapo bado nchi zingine za kiislam wapo,huko ujerumani waende tu,wazungu si ndiyo wanachokonoa nchi za watu!Kwa nini walienda German,wasingeenda huko uturuki kwa waislamu wenzao,ni kwamba hawajui Kama Kuna uturuki au shida Nini?