Nchi za Kikristo zinawezaje kuishi kwa amani namna nii?

Nchi za Kikristo zinawezaje kuishi kwa amani namna nii?

Nchi nyingi za kikistro hazina malighafi za kuendesha viwanda vyao,wengi wanategemea Africa or mashariki ya kati ,na iliwavipate hivyo inabidi waanzishe vita ilikuvichukua Kwa wingi, mfano US anaweza endesha nchi Kwa miaka 100 bila kuchimba or tafuta tena kwakua ameiba sana Iraq,Afghanistan,Lybia,in nutshell ppt penye vita ijue westerners wamebeba na wanaendelea kubeba
Urusi, Canada, Mexico, Australia na Brazil raia wengi ni Wakristo.
 
😄😄😄😄😄🥱🥱🥱 hapo jalalani ndo takataka gani hizi wanazalisha!!!!

Sasa ww advance ulisoma history ila hukuelewa, nadhani ww ulikuwa unasolve sana mitihani hukupenda kusoma vitabu. Kwa kifupi wewe ulisoma kufaulu.

Back to the topic Mzozo wa middle east kama sijasahau unaelezewa vizuri sana huko advance level of secondary education ya Tz, fukuafukua madesa yako vizur utaukuta.

#ELIMU!ELIMU!ELIMU!
Teh!we Jamaa bhana. Pale middle East the only problem ni JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN.
 
Hizo nchi zina UTAJIRI wa aina yoyote mkubwa kama MAFUTA?

Zinaingiliwa na nchi zingine katika chaguzi zao, migogoro yao ya ndani n.k?

Hadi umri huo hujui kwanini baadhi ya nchi za imani tofauti na UKRISTO zinapigana vita vya kutengenezwa? Au umeamua kujifurahisha?
Waarabu ni wajinga tu acha kuwatetea ,hivi wao hawana akili ya kujua kuwa kuna watu wana wachonganisha !?
 
Hizi ni baadhi ya nchi zinazo endeshwa kwa misingi ya kikristo na huwezi kuwa kiongozi wa dola ikiwa wewe si mkristo Malta, Armenia, Vatican, England, Denmark, Norway, Iceland nk.

Swali langu ni kwanini huwezi sikia vikundi vya waasi wa kilokole au waasi wa kikatoliki wakiwa msituni wakimpambania mola wao?

Kwanini nchi nyingine kama Syria utasikia sijui wa sunni wameingia msituni kupambana na wasia? Je wanafeli wapi?

Je, nchi zinazo jinasibu zinaongozwa kwa dini ya amani zinawezaje kukosa utulivu miaka nenda rudi?

Nchi za kikristo zinaishi kwa amani , Russia na Ukraine huku nchi za kikristo za West zikiipa silaha Ukraine

by way, England si nchi ya kikristo pamoja na nchi za west labda vatican ambayo hujiita ni nchi ya kikristo

View: https://www.youtube.com/watch?v=odwsxXqEIqE
 
Teh!we Jamaa bhana. Pale middle East the only problem ni JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN.
Kwanini Iran iwe tatizo vipi Israel anayefanya ulowezi kwa ardhi ya wengine.Vipi Marekani na Ulaya wanaosupply silaha na fedha mabilioni kwa Israel ili kuchochea vita.

Ndomaana nasema ili kuelewa huo mgogoro kinagaubaga inabidi uweke mahaba na mihemko pembeni kisha utumie akili ndogo tu ya kuzaliwa utajua mbivu na mbichi.

#ELIMU!ELIMU!ELIMU!
 
Kwa nn wapigane vita ya kutengenezwa? Hawana akili?
Wamekuwa ng'ombe ambaye anashikishwa jembe alime kwa lazima???
Maarabu majinga wee,na hiyo dini Yao ndio inawafanya wasiwe na akili kabisa mpaka wanakubali Kuchonganishwa
 
Hizi ni baadhi ya nchi zinazo endeshwa kwa misingi ya kikristo na huwezi kuwa kiongozi wa dola ikiwa wewe si mkristo Malta, Armenia, Vatican, England, Denmark, Norway, Iceland nk.

Swali langu ni kwanini huwezi sikia vikundi vya waasi wa kilokole au waasi wa kikatoliki wakiwa msituni wakimpambania mola wao?

Kwanini nchi nyingine kama Syria utasikia sijui wa sunni wameingia msituni kupambana na wasia? Je wanafeli wapi?

Je, nchi zinazo jinasibu zinaongozwa kwa dini ya amani zinawezaje kukosa utulivu miaka nenda rudi?

Ulisahau na waislamu wa nchi ya Marekani walio na askari wao huko Syria na Iraq nao wamo kupigana au vipi ??
 
Ulisahau na waislamu wa nchi ya Marekani walio na askari wao huko Syria na Irawq nao wamo kupigana au vipi ??
Kwahiyo waislamu wanawaua waislamu wenzao?
 
Kwanini Iran iwe tatizo vipi Israel anayefanya ulowezi kwa ardhi ya wengine.Vipi Marekani na Ulaya wanaosupply silaha na fedha mabilioni kwa Israel ili kuchochea vita.

Ndomaana nasema ili kuelewa huo mgogoro kinagaubaga inabidi uweke mahaba na mihemko pembeni kisha utumie akili ndogo tu ya kuzaliwa utajua mbivu na mbichi.

#ELIMU!ELIMU!ELIMU!
Unaonekana unajua mambo mengi sana! Tuambie chochote unachokielewa kuhusu boko haram, alshabab na Alqaida na uhusiano na dini ya Kiislamu,maana wote hawa wakichinja mtu,wakiuwa mtu na wakiteka mtu( watoto wa shule kule Nigeria) huwa wanatamka "allahu Akbar"
 
Kwahiyo waislamu wanawaua waislamu wenzao?

si tunaambiwa kuna waislamu wanauwana wenyewe kwa wenyewe , Jee marekani iliyo na askari Iraq na Syria nchi ya kiislamu ??
 
Unaonekana unajua mambo mengi sana! Tuambie chochote unachokielewa kuhusu boko haram, alshabab na Alqaida na uhusiano na dini ya Kiislamu,maana wote hawa wakichinja mtu,wakiuwa mtu na wakiteka mtu( watoto wa shule kule Nigeria) huwa wanatamka "allahu Akbar"

Mbona hata wewe unatamka Allahu akbar , au wewe ni mwislamu ??
 
Ukiiondoa Vatican hizo nchi nyingine zilizobaki ni atheists/ agnostics majority au nusu ya raia wake wengi ni wasio na dini/irreligious. Hizo nchi haziendeshwi kwa misingi ya dini yoyote.
England
1000425348.jpg

Denmark
1000425350.jpg

Malta
1000425354.jpg

Armenia
1000425340.jpg

Norway
1000425352.jpg

Unajua comment kama hii yako zinapendwa na watu kwa sababu ya kukosa uhalisia na evidence, haswa brother min -me ambaye hayuko interested na ukweli bali kuona ukristo ukiongelewa vibaya, kitu ambacho hamjui ni kwamba hata uongo unaweza kuonekana kama ukweli if huo uongo ukaongelewa katika tone ya kishujaa.
 
England
View attachment 3175046

Denmark
View attachment 3175047

Malta
View attachment 3175049

Armenia
View attachment 3175050

Norway
View attachment 3175052

View: https://www.youtube.com/shorts/OSfyYCkzLTo
 
England
View attachment 3175046

Denmark
View attachment 3175047

Malta
View attachment 3175049

Armenia
View attachment 3175050

Norway
View attachment 3175052

Unajua comment kama hii yako zinapendwa na watu kwa sababu ya kukosa uhalisia na evidence, haswa brother min -me ambaye hayuko interested na ukweli bali kuona ukristo ukiongelewa vibaya, kitu ambacho hamjui ni kwamba hata uongo unaweza kuonekana kama ukweli if huo uongo ukaongelewa katika tone ya kishujaa.

European Union​

Main article: LGBT rights in the European Union

LGBT rights in:Same-sex sexual activityRecognition of same-sex unionsSame-sex marriageAdoption by same-sex couplesLGB people allowed to serve openly in militaryAnti-discrimination laws concerning sexual orientationLaws concerning gender identity/expression
European Union European UnionYes Legal in all 27 member states[464]Yes/No Recognized in 25/27 member statesYes/No Legal in 16/27 member statesYes/No Stepchild adoption legal in 20/27 member states;
joint adoption legal in 17/27 member states
Yes Legal in all member statesYes Membership requires a state to ban discrimination based on person's sexual orientation in employment.
4/27 states ban some anti-gay discrimination.
23/27 states ban all anti-gay discrimination
Yes/No Legal in 25/27 member states[465]
 
Back
Top Bottom