Nchi za Kikristo zinawezaje kuishi kwa amani namna nii?

Nchi za Kikristo zinawezaje kuishi kwa amani namna nii?

Pendaneni, Mpende jirani yako kama NAFSI YAKO...

Kule ukifa ukiwa unaipambania dini wewe ni PEPO MOJA KWA MOJA..

Wapi na lini ulisikia Aliyejitoa Mhanga ni Mkristo??

Kule ukijitoa Mhanga unapata Swawabu
Majinga
 
Hizo nchi zina UTAJIRI wa aina yoyote mkubwa kama MAFUTA?

Zinaingiliwa na nchi zingine katika chaguzi zao, migogoro yao ya ndani n.k?

Hadi umri huo hujui kwanini baadhi ya nchi za imani tofauti na UKRISTO zinapigana vita vya kutengenezwa? Au umeamua kujifurahisha?
Somalia kuna mafuta? Hamas walipomuuwa Joshua huku wakimtaja Allah walikuwa wanapigania mafuta?
 
Hizi ni baadhi ya nchi zinazo endeshwa kwa misingi ya kikristo na huwezi kuwa kiongozi wa dola ikiwa wewe si mkristo Malta, Armenia, Vatican, England, Denmark, Norway, Iceland nk.

Swali langu ni kwanini huwezi sikia vikundi vya waasi wa kilokole au waasi wa kikatoliki wakiwa msituni wakimpambania mola wao?

Kwanini nchi nyingine kama Syria utasikia sijui wa sunni wameingia msituni kupambana na wasia? Je wanafeli wapi?

Je, nchi zinazo jinasibu zinaongozwa kwa dini ya amani zinawezaje kukosa utulivu miaka nenda rudi?
Mauwaji au vita vinaweza kutokea popote na kwa sababu mbali mbali. Ukiona mahali Kuna ugaidi au chokochoko zinashamiri basi marekani yuko nyuma ya pazia.
Hebu piga tochi yako Congo, Sudani kusini, Rwanda walivyo nyongana, Burundi, Uganda na lord resistance army, Ireland ilivyokua kati ya wakatoliki na waprotestant, Huko Amerika ya kusini ambako wengi katoliki ni mauwaji ya ajabu kwa magurupu na serikali , Angalia Haiti ni kama laana n.k
 
Mpumbavu ni mtu anayeweza ongea chochote bila kua na Takwimu/facts/references.
Raia wa Libya ana Uchumi mara 5ya raia wa Tanzania ama Kenya😃😄😆
Je we unasikiliza propaganda kua Northe Korea na Iran ni mataifa masikini🤣🤣,wakati wanadevelop nuclear weapons na ICBM,
Je wewe sio mpumbavu?

Achana na hizo data za ku justify uvamizi wa kina Obama nchini Libya. Jali ya Libya ni mbaya. Nchi ambayo ilikuwa mfano wa kuigwa MENA, sasa limekuwa pango la wanyang'anyi. Kila mtaa una serikali yake. Umekuwa ushiroba wa kwenda ulaya kwa wahamiaji haramu kutoka duniani kote.
 
Umeuliza swali la kivivu ukitarajia upate ufafanuzi ambao tayari kwa jinsi ulivyouliza swali yamkini unajibu lako hivyo wewe haupo tayari kuujua ukweli.

Ikiwa utautaka ukweli itabidi urudi nyuma uanze kusoma historia ya dunia na umalize usome siasa za dunia.

Hapo utapata ukweli kama lengo lako ni kujifunza na unataka kujua. Mpende kujifunze na kusoma itawasaidia kuwa na majibu ya maswali mepesimepesi.

Wewe hata nchi za kikiristo huzijui na bado unauliza swali la kitoto.Nina mashaka na uwezo wako wa akili na matumizi yake😄😄😄

Pia wewe hujui matumizi ya hiyo simu uliyonayo.

#ELIMU! ELIMU!ELIMU!
Tusaidie kwa nn Finland na Norway na Denmark na Sweden hakuna ujinga kama wa middle east watu kifanya upumbavu huku wanamtaja Allah ( "Allahu akbar")
 
Tatizo mnaangaliaga data afu hamchanganua akili vitu mnavyoviona, Utalinganishaje data za GDP za nchi ambayo export yake kuu ni mafuta (malighafi ambayo ni sababu kubwa kwanini wanapigana in the first place ) na Kenya ambayo sekta yake kubwa ni kilimo tena informal
Ni sawa sawa hapa bongo useme GDP yetu kubwa kumbe nusu ya namba mnayoona imebebwa na waarabu na wahindi hawazidi 30; huu ndio uhalisia wa Libya, GDP kubwa lakini pesa karibia yote inatokea kwenye visima vya mafuta vilivyoshikiriwia na wachache pamoja na washirika wao waliopambana kuiua nchi ; ukiondoa hayo manamba iliyoandika Wakenya unaowadharau kwa GDP ndogo wanaishi vizuri kuliko hao waarabu huko Libya
Msisome data juu juu, ingieni ndani mchanganue msingi wa kile kinachoandikwa

Shida hawajui methodology na kpi zilizotumika kuchambua hizo takwimu
 
Umejibu nini sasa!? Kama una uelewa mpana zaidi ya mleta mada ungeandika hapa ila kwa ulichoandika ni kama umetuonesha kiwango chako cha ujinga.
Wewe na wapuuzi wenzio mmeanza kuchangia bila hata kumkosoa mleta mada kwa utumbo aliouandika coz ukiitoa vatican hizo zote sio nchi za kikristo.
 
Mpumbavu ni mtu asiyejua akajifanya kuelezea kitu kama anajua😀
Hiko nilichokuwekea na ninachokuwekea sio GDP ni Per capital income,......ya Libya ni mara Tano ya Tanzania na Kenya,............
Kwa akili zako unazosema unachanganua,Libya wana maisha magumu kuliko simiyu kule?,......
Kwa hio ambao munachanganua akili hamusomagi data?
No wonder Karume hakusoma ila akamuingiza kingi Nyerere msomi wa Uingerezea sababu ya akili kama zako,Leo Zanzibar ina watu kama mbagala ila GDP yake ni kubwa kuliko Kanda yaziwa yote🤣🤣

Kwa hiyo kwa mtazamo wako gdp ni mbingu na nchi na par capita income!?
 
Somalia wanapiganishwa na nani bro? Comoro tu hapo tuliwasaidia sisi; kile kisiwa nacho over 80% ya wakazi wake ni Waislamu. Unaionaje Zanzibar nje ya nuungano, pana amani pale? Hawa suruali fupi wanaweza kuishi na suruali ndefu kwa amani? Tusisingizie mataifa mengine; Angola pia kuna mafuta, wanapigana? Mafuta hayapo Uarabuni pekee yake, Venezuela yapo, Uganda nao wataanza kuchimba soon
Kwahiyo wewe Dunia nzima umeiona somalia na Comoro 😂😂. Huoni aibubona hizo nyingine umekwepa kuzitaja?
 
Ili nchi iwe ya kikristo inabidi iwe inatumia bibilia kama muongozo wa kila kitu.

Kwa mfano mtu akiua au akiiba au akibaka hukumu inatolewa kutoka kwenye bibilia na hakimu aoakuwa askofu je ukienda uingereza au denmark ukifanya kosa utahukumiwa kwa kutumia bibilia?
 
Hizo nchi za ulaya si za kikristo lkn Zina wafuasi wachache wakristo, na wengi wasiamini uwepo wa Mungu(ATHEIST), kiuhalisia ni nchi ambazo zinazoongoza kwa watu wasiofuata wala kuamini dini yoyote,

Nchi nyingi za ulaya hazina dini, kilichowafanya muamini ni watu wa dini fulan sababu kuu ni effects za utawala wa roma na hilo kanisa la Roma ambalo nalo liligawika na kuunda vijikanisa vidogo kama ulutheri, usabato na TAKATAKA zingine.

pia sababu nyingine ni kuwa ktk Sheria zao dini ya ukristo haipigwi vita sababu haina itikadi za hovyo za kulazimishana kuamini mambo fulan kama ilivyo dini ya uislam ambayo waumini wake Wana mihemko ya kuwahukumu wasiofuata taratibu za dini,

Sababu kuu ya kufanikiwa kucontrol itikadi Kali za kidini imesababishwa na elimu+Sheria za utu na uhuru wa mtu kuamini anachokipenda, tofauti na nchi ambazo mpaka Leo hii zinatumia Sheria za kitabu kilichoandikwa na wajinga wa mamia ya miaka iliyopita huku suala la UTU+UHURU wa mtu ukipigwa vita, kwa namna hii mifarakano, kusalitiana na kupigana kisa tofauti za misimamo ya kidini hakuwezi kuisha.
 

Attachments

  • FB_IMG_1733944219954.jpg
    FB_IMG_1733944219954.jpg
    43.6 KB · Views: 7
Hahahah, Sasa hivi huwasikii wakisema wanakufa wanawake na watoto kwa sababu GAIDI anaua GAIDI, ni Shia na Suni.
Israel na Marekani wanalipua maghala ya silaha tu wala hawaui watu Syria.

Kwa Mtoro Kimya, Mtambani Kimya, Bakwata kimya , Shura ya Maimamu kimyaaaa. Sasa hivi wwaomba Marekani na Europe waingilia kuleta AMANI nchini SYRIA.

Hakuna cha UAE, walala Muslim anaweza kuwasaidia wa Syria.
 
Back
Top Bottom