Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Kwa hiyo waarabu na hizo nchi wapo, miaka mamia nyuma ya Dunia?Wamevuka hizo hatua. Hakuna sehemu zilikuwa na vita kama Ulaya karne ya 8 mpaka 12. Kama umewahi kusikia kuhusu Vikings, walikuwa ni wazungu wakristo na makatili kweli kweli.
Wamevuka hizo hatua
Kwa kiasi fulani nakubaliana nawe, maana hata enzi za Masiha, jamii ya wayahudi ilikuwa inaongozwa na sheria za torati, ndiyo hizo za kupiga watu mawe.