Nchi za Kikristo zinawezaje kuishi kwa amani namna nii?

Nchi za Kikristo zinawezaje kuishi kwa amani namna nii?

Nchi kama hizo haziwezi kuwa na vita sababu tayari Zina makoloni yao wanayochota mali kwa wapumbavu huku Africa na America .......haujui kua kanisa la Roma sadaka huenda hadi Vatican then wenye akili hula Bata na hizo pesa?
Yes nchi kama Libya,Iraq,Syria hizo lazima ziwe na vita sababu raia hawawezi kubali madini yao kuchotwa kizembe eti uwekezaji, ama eti parokia iwepo watu wachange hela zao zikaliwe Europe
Denmark, Norway na Netherlands wanachota au waliwahi kuchota mali wapi??
 
huko saudi arabia huwa mnaenda bure kuhiji? Huona kuwa mnapeleka hela kuijenga saudi arabia kiuchumi mnapoenda kutalii kidini?
Kwenye hija hakuna pesa yeyote unayotoa kule,hakuna fee kwenye hija zaidi ya gharama zako za nauli na hoteli,
Saudi Arabia uchumi wake 99% wanategema CRUDE OIL----na hili hulijui?
Kule kupo tofauti kua sadaka zinakusanywa vijijini makaniani kwenye parolia zinapelekwa Vatican😁😄
Enhe Vatican uchumi wake wanategemea nini?
 
Hizi ni baadhi ya nchi zinazo endeshwa kwa misingi ya kikristo na huwezi kuwa kiongozi wa dola ikiwa wewe si mkristo Malta, Armenia, Vatican, England, Denmark, Norway, Iceland nk.

Swali langu ni kwanini huwezi sikia vikundi vya waasi wa kilokole au waasi wa kikatoliki wakiwa msituni wakimpambania mola wao?

Kwanini nchi nyingine kama Syria utasikia sijui wa sunni wameingia msituni kupambana na wasia? Je wanafeli wapi?

Je, nchi zinazo jinasibu zinaongozwa kwa dini ya amani zinawezaje kukosa utulivu miaka nenda rudi?
Asee tupendaneni tu. Yesu kipenzi chetu alituhasa tuwapende jirani zetu. Kobaaz wanajitahid sana kwenye imani yao ila wanamuhitaji Yesu.
 
Ukiona mkimbiz wa Syria kakimbilia Iraq ujue kakosa means au hana vigezo ila kila mujahideen anapenda kwenda uropa kula mema yanchi
Msomi hureason kwa Takwimu
Hizi nchi ambazo raia WA Syria huenda?......enhe nchi ambazo munaziita za kikiristo wameenda asilimia ngapi?
Je Nini ni wasomi ama wapumbavu?
Hata D.R.C na Zambia ni nchi za kikristo😆😆
 
Attachments

  • Screenshot_20241211-085341.png
    Screenshot_20241211-085341.png
    247.8 KB · Views: 2
Kwenye hija hakuna pesa yeyote unayotoa kule,hakuna fee kwenye hija zaidi ya gharama zako za nauli na hoteli,
Saudi Arabia uchumi wake 99% wanategema CRUDE OIL----na hili hulijui?
Kule kupo tofauti kua sadaka zinakusanywa vijijini makaniani kwenye parolia zinapelekwa Vatican😁😄
Enhe Vatican uchumi wake wanategemea nini?
Kila mwaka wanaingia watu kati ya milioni 2 hadi 3 kufanya Hija Saudi Arabia, fikiria ni pesa kiasi gani wanaacha kama mapato katika hotel, yale mavazi wanayojitanda na usafiri wanaoutumia Saudi Arabia.
 
Norway ina utajiri mkubwa wa gesi na mafuta kuliko nchi nyingi za uarabuni. Hata Denmark imekuwa na utajiri wa gesi na mafuta kwa muda mrefu tu.
Mpumbavu hutoa hoja bila takwimu
Hizi ni nchi zenye Reserve kubwa ya mafuta na gesi duniani.
Enhe Norway na Denrmark ipoje hapo with respective to nchi za uarabuni?
Je wewe sio Mpumbavu?😁😆😂
 
Attachments

  • Oil_and_gas_industry_reserves_by_nation.png
    Oil_and_gas_industry_reserves_by_nation.png
    219.9 KB · Views: 1
Hizo nchi zina UTAJIRI wa aina yoyote mkubwa kama MAFUTA?

Zinaingiliwa na nchi zingine katika chaguzi zao, migogoro yao ya ndani n.k?

Hadi umri huo hujui kwanini baadhi ya nchi za imani tofauti na UKRISTO zinapigana vita vya kutengenezwa? Au umeamua kujifurahisha?
Mtoa mada kaprint hii uweke lamination kabisa
 
Hizi ni baadhi ya nchi zinazo endeshwa kwa misingi ya kikristo na huwezi kuwa kiongozi wa dola ikiwa wewe si mkristo Malta, Armenia, Vatican, England, Denmark, Norway, Iceland nk.

Swali langu ni kwanini huwezi sikia vikundi vya waasi wa kilokole au waasi wa kikatoliki wakiwa msituni wakimpambania mola wao?

Kwanini nchi nyingine kama Syria utasikia sijui wa sunni wameingia msituni kupambana na wasia? Je wanafeli wapi?

Je, nchi zinazo jinasibu zinaongozwa kwa dini ya amani zinawezaje kukosa utulivu miaka nenda rudi?
Waarabu wana laana wale na hakika kuna wengine wanaingizwaga kwenye hayo makundi hata hawajui wanaenda kupigania nini, Maana washia wakiua utasikia allahu akbar na wasuni vilevile sasa unabaki na maswali hawa ni binadamu au mazombi...cause kama kununulika mbona Yahudi hanunuliki hata kwanini amuue myahudi mwenzie!? Siku hawa waarabu wakielimika ujue ni mwisho wa dunia, yaani Juzi tuliambowa Al jawlan alikuwa gaidi na antafutwa kwa $millioni 10 ubaoni leo unaaminishwa mtetezi wa Syria kampiganie na wewe unaenda front hivi wewe mzima kweli!?😁😂
 
Kila mwaka wanaingia watu kati ya milioni 2 hadi 3 kufanya Hija Saudi Arabia, fikiria ni pesa kiasi gani wanaacha kama mapato katika hotel, yale mavazi wanayojitanda na usafiri wanaoutumia Saudi Arabia.
Mpumbavu hutoa hoja yake bila takwimu,........
Hii ni chart ya Saud Arabia kuonesha contribution ya economic activities.
Enhe Hija n safari zanhao watu milioni 2-3 zinacontribute asilimia ngaoi hapo?😆
Je wewe sio mpumbavu?
 
Attachments

  • images (7).png
    images (7).png
    29.4 KB · Views: 2
Hizi ni baadhi ya nchi zinazo endeshwa kwa misingi ya kikristo na huwezi kuwa kiongozi wa dola ikiwa wewe si mkristo Malta, Armenia, Vatican, England, Denmark, Norway, Iceland nk.

Swali langu ni kwanini huwezi sikia vikundi vya waasi wa kilokole au waasi wa kikatoliki wakiwa msituni wakimpambania mola wao?

Kwanini nchi nyingine kama Syria utasikia sijui wa sunni wameingia msituni kupambana na wasia? Je wanafeli wapi?

Je, nchi zinazo jinasibu zinaongozwa kwa dini ya amani zinawezaje kukosa utulivu miaka nenda rudi?
England kikngozi wa dola ni nani? Mfalme au waziri mkuu?
 
Hao mbona wote ni wakoloni mkuu
Ye hajui kua wakoloni inawezakua hata kampuni kama Barrick kule mara na Geita inachota Mali Kwa niaba ya Canada na U.S government thus why mukitofautiana ndege Yako inakamatwa kwenye nchi zao?
Nchi hii wakrito wanaongoza kwa elimu,ila ni moja ya jamii ya wapumbavu kuliko jamii yeyote ile
Thuy why uchumi wa Zanzibar ambaoo huongoza kwa kufeli form four ama six ni mara 2 ya uchumi wa mkoa wote wa Kagera na Kilimanjaro kwenye wasomi wengi😄😁😁
Huu si uhanithi,.....elimu Ina faida gani sasa?
Tanga kwa waislam wavivu,mamwinyi,enhee,watu wa pwani hawasomi 🤣🤣 ni jiji,ila Kagera kwa wasomi,madoctors,maprofessors, stendi tu ya basi kama Banda la nguruwe🤣🤣
 
Umeuliza swali la kivivu ukitarajia upate ufafanuzi ambao tayari kwa jinsi ulivyouliza swali yamkini unajibu lako hivyo wewe haupo tayari kuujua ukweli.

Ikiwa utautaka ukweli itabidi urudi nyuma uanze kusoma historia ya dunia na umalize usome siasa za dunia.

Hapo utapata ukweli kama lengo lako ni kujifunza na unataka kujua. Mpende kujifunze na kusoma itawasaidia kuwa na majibu ya maswali mepesimepesi.

Wewe hata nchi za kikiristo huzijui na bado unauliza swali la kitoto.Nina mashaka na uwezo wako wa akili na matumizi yake😄😄😄

Pia wewe hujui matumizi ya hiyo simu uliyonayo.

#ELIMU! ELIMU!ELIMU!
Acha porojo mkuu ni nchi gani kati ya hizo hapo haiongozwi na mfumo kristo? Jibu swali kobazi zinakwama wapi na dini yao ya amani?
 
Hizo nchi zina UTAJIRI wa aina yoyote mkubwa kama MAFUTA?

Zinaingiliwa na nchi zingine katika chaguzi zao, migogoro yao ya ndani n.k?

Hadi umri huo hujui kwanini baadhi ya nchi za imani tofauti na UKRISTO zinapigana vita vya kutengenezwa? Au umeamua kujifurahisha?
Kwani nchi za kiislamu huwa zinafanya Uchaguzi ?

Mbona Venezuela ina mafuta mengi kuliko nchi nyingi za kiarabu haina makundi ya waasi wanaompigania Allah ?
 
Mpumbavu hua hareason
1.Wanazuoni wanatoa wapi pesa?
2.Haujajiuliza Libya imepigana Civil war zaidi ya miaka 10,ila uchumi wake ni mara 5 ya Tanzani ama Kenya isiyo na vita?
3.kwa nini Iraq ina fast development after war, kuliko nchi yeyote ya Africa?
4.mbona D.R.C Ina vita na sio Islamic/Arabic country?😃😄😄,unajua Kwa Nini?
5.ushasikia Taliban baada ya kuchukua nchi imefanya mashambulizi yeyote?,ndani ama nje ya nchi?
6.hao unaodhani wanapigana vita ya dini wanatoa wapi pesa?😃😂
Je wewe sio mpumbavu?
Siamini kama wewe ni mzima. Yawezekana ni miongoni mwa hao walioharibiwa akili ambao huwa wanajilipua hovyo. Hakuna mwenye akili timamu ambaye huwa anatoa arguments zake kwa kutukana wengine.
Mimi nafanya arguments za hoja na watu wenye akili timamu, wewe tafuta wenzako unaolingana nao.
 
Back
Top Bottom