Mpumbavu ni mtu asiyejua akajifanya kuelezea kitu kama anajua😀Tatizo mnaangaliaga data afu hamchanganua akili vitu mnavyoviona, Utalinganishaje data za GDP za nchi ambayo export yake kuu ni mafuta (malighafi ambayo ni sababu kubwa kwanini wanapigana in the first place ) na Kenya ambayo sekta yake kubwa ni kilimo tena informal
Ni sawa sawa hapa bongo useme GDP yetu kubwa kumbe nusu ya namba mnayoona imebebwa na waarabu na wahindi hawazidi 30; huu ndio uhalisia wa Libya, GDP kubwa lakini pesa karibia yote inatokea kwenye visima vya mafuta vilivyoshikiriwia na wachache pamoja na washirika wao waliopambana kuiua nchi ; ukiondoa hayo manamba iliyoandika Wakenya unaowadharau kwa GDP ndogo wanaishi vizuri kuliko hao waarabu huko Libya
Msisome data juu juu, ingieni ndani mchanganue msingi wa kile kinachoandikwa
Hiko nilichokuwekea na ninachokuwekea sio GDP ni Per capital income,......ya Libya ni mara Tano ya Tanzania na Kenya,............
Kwa akili zako unazosema unachanganua,Libya wana maisha magumu kuliko simiyu kule?,......
Kwa hio ambao munachanganua akili hamusomagi data?
No wonder Karume hakusoma ila akamuingiza kingi Nyerere msomi wa Uingerezea sababu ya akili kama zako,Leo Zanzibar ina watu kama mbagala ila GDP yake ni kubwa kuliko Kanda yaziwa yote🤣🤣