Nchi za Kikristo zinawezaje kuishi kwa amani namna nii?

Huo ni uwongo, ni kukimbia msingi wa tatizo.

Kuna baadhi ya mafundisho yanayotolewa na wanazuoni, yanachochea uharibifu. Maadam hayo mafundisho yanaendelea, hilo tatizo litaendelea.
 
Nchi kama hizo haziwezi kuwa na vita sababu tayari Zina makoloni yao wanayochota mali kwa wapumbavu huku Africa na America .......haujui kua kanisa la Roma sadaka huenda hadi Vatican then wenye akili hula Bata na hizo pesa?
Yes nchi kama Libya,Iraq,Syria hizo lazima ziwe na vita sababu raia hawawezi kubali madini yao kuchotwa kizembe eti uwekezaji, ama eti parokia iwepo watu wachange hela zao zikaliwe Europe
 
Waarabu kwanini hawakimbilii nchi za Kislam wanakimbilia kwenye nchi za Kikristo?
Mpumbavu huongea bila Takwimu,.......
Hii ni takwimu ya nchi ambazo mfano raia wa Syria wamekimbilia,.......enhee hizo ulizotaja ni nchi za kikristo zina raia asilimia ngapi wa Syria ukilinganisha na hizo nchi unazoziita za kiislam?
Unaweza weka mfano wako kitakwimu wa ulichokisema?
Je wewe sio mpumbavu?πŸ˜ƒπŸ˜„
 

Attachments

  • Screenshot_20241211-085341.png
    247.8 KB · Views: 1
Inaonyesha kabisa wewe ni kilaza na hujui hata yanayoendelea duniani, hakuna nchi ya kikristo hapo katika zote ulizotaja kasoro vatican
 
Ukiona mkimbiz wa Syria kakimbilia Iraq ujue kakosa means au hana vigezo ila kila mujahideen anapenda kwenda uropa kula mema yanchi
 
Yesu ni amani, na ndiye anayetoa amani ,hata wanafunzi wake alikua anawasalimia amani iwe nanyi ,to mean is the provider of peace
 
Huo ni uwongo, ni kukimbia msingi wa tatizo.

Kuna baadhi ya mafundisho yanayotolewa na wanazuoni, yanachochea uharibifu. Maadam hayo mafundisho yanaendelea, hilo tatizo litaendelea.
Mpumbavu hua hareason
1.Wanazuoni wanatoa wapi pesa?
2.Haujajiuliza Libya imepigana Civil war zaidi ya miaka 10,ila uchumi wake ni mara 5 ya Tanzani ama Kenya isiyo na vita?
3.kwa nini Iraq ina fast development after war, kuliko nchi yeyote ya Africa?
4.mbona D.R.C Ina vita na sio Islamic/Arabic country?πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜„,unajua Kwa Nini?
5.ushasikia Taliban baada ya kuchukua nchi imefanya mashambulizi yeyote?,ndani ama nje ya nchi?
6.hao unaodhani wanapigana vita ya dini wanatoa wapi pesa?πŸ˜ƒπŸ˜‚
Je wewe sio mpumbavu?
 
huko saudi arabia huwa mnaenda bure kuhiji? Huona kuwa mnapeleka hela kuijenga saudi arabia kiuchumi mnapoenda kutalii kidini?
 
Norway ina utajiri mkubwa wa gesi na mafuta kuliko nchi nyingi za uarabuni. Hata Denmark imekuwa na utajiri wa gesi na mafuta kwa muda mrefu tu.
 
Labda unajitoa ufahamu bila kujijua!je hizo vita au hivyo vikundi vya kigaidi katika hizo nchi unazoziita za kiislamu vimetengenezwa na nani?je silaha vinatoa wapi?je kongo nayo ni nchi ya kiislamu?au hitler alikua sheikh?
 
Kwa nn wapigane vita ya kutengenezwa? Hawana akili?
Wamekuwa ng'ombe ambaye anashikishwa jembe alime kwa lazima???
 
Wamevuka hizo hatua. Hakuna sehemu zilikuwa na vita kama Ulaya karne ya 8 mpaka 12. Kama umewahi kusikia kuhusu Vikings, walikuwa ni wazungu wakristo na makatili kweli kweli.

Wamevuka hizo hatua
 
Wamevuka hizo hatua. Hakuna sehemu zilikuwa na vita kama Ulaya karne ya 8 mpaka 12. Kama umewahi kusikia kuhusu Vikings, walikuwa ni wazungu wakristo na makatili kweli kweli.

Wamevuka hizo hatua
Vikings hawakuwa Wakristo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…