Nchi za Kikristo zinawezaje kuishi kwa amani namna nii?

Rishi sunak aliwahi kuwa waziri mkuu england,alikuwa mkristu?
 
Mbona hata wewe unatamka Allahu akbar , au wewe ni mwislamu ??
Bora umenisaidia kumjibu😄😄😄😄
sijui ni ugali au wali ndo unaharibu hivi namna waafrica wanavyofikiri au ni nini????

#ELIMU!ELIMU!ELIMU!
 
Iyo Palestine ikiwa ww mkamilifu kiakili uwezi Tofautisha na Wahutu waliouliwa kwa umati ndani y kanisani kuna tofauti gani mana Pelestine ni kama Nyumba iliozungukwa pande zote kisha ndio Taifa teule linapigana nao umo ndani watu awana
Chakula awana msaada wowote wanaweza pata. Sioni Tofaut na Wahuti Wakatoriki Waliokimbilia Kanisan wakizani watapata Aman lkn waliishia kuchinjwa kama Kuku apo Rwanda. Taifa teule alipigani na mwenye uwezo linasaka mchavu Tumeona ata Syria wamekuwa wachovu kwasasa Taifa teule ndio kutwa linashambulia wachungaji wenu nao wanalisifia eti Israel inaweza piga Dunia lkn linaishindwa Iran mana Iran ndio msababisha matatizo yote kwa Israel vifo na mengine. Lkn atuoni Israel au Babake USA akisubutu kuanzisha vita..
 
Zipo nchi nyingi tu za kiislamu zenye amani kama ,Brunei, Malaysia, Oman,Qatar,Kuwait Indonesia,United Arab Emirates.

Wale ni waislam wanaojielewa. Hata ukiangalia maendeleo yao yako tofauti na waislam gaidi a.k.a msimamo mkali
 
Denmark ni taifa la Kikristo kama Tanzania ilivyoandika ni taifa la kijamaa katika katiba yake.
5% tu ya raia wa Denmark ndio huwa wanaenda kanisani na kufanya ibada, wengine wote waliobaki wamebaki wamesajiliwa katika kanisa kwa sababu wamezaliwa katika familia za Kikristo na pia kwa ajili ya shughuli za kijamii kama harusi na mazishi. Utafiti uliofanywa na Gallup unaonyesha 52% ya Wadenmark ni atheists/agnostics/ irreligious.
 
Huko West kuna kitu wanaita "Christian Atheism". Hawa ni watu wanaojiita Wakristo lakini hawaamini mungu.
 
Wakristo wanaishi na wengine vzr kwa amani, kila waislam kimaandiko wanataman kuua kila asiye muislam hapo ndo tatizo linaanza
 
Wakristo wanaishi na wengine vzr kwa amani, kila waislam kimaandiko wanataman kuua kila asiye muislam hapo ndo tatizo linaanza
 
Ni kwa vile ulizaliwa jana. Nchi za Kikristo zilishapigana vita vya JIHAD. Wenyewe walilibatiza jina la Cruseders war. Hata Masjid Sofia kule Uturuki wakristo wa Kiorhodox na wakatoliki walishapokezana sana kuimiliki kwa kutumia panga na jambia. Pia Wakristo walishawahi kuikamilia Yerusalemu wa kutumia jambia na mapanga wakimpigania Mungu wao kabla hawajaondolewa na Makundi wa waislam.

Hata kule Afrika ya kati wale jamaa wanaitwa Anti Balak ni kikundi cha waasi wa Kikristo. Hapo jirani kwa Museven wale jamaa wanaitwa Load Resistance Army ni Wakristo.

Unaweza ku Google kuhusu makundi ya kikaidi ya kikristo yaliyokuwa yanatisha duniani.
 
Kwa wakristo dini ni personal, hulazimishwi kua muumini, wa waislamu dini ni community, lazima kila mtu awe na dini, ukikataa dini ni kifo na mbaya zaidi kila mtu anatafsiri yake ambayo anataka ailazimishe kwa mwenzake.
Ulishawahi kuisikia kitu kinait wa HOLY ROMAN EMPIRE?? Basi enzi zile dini halikuwa suala la mtu binafsi. Ilikuwa ni lazima kuishi na kufa ukiutete Ukatoliki. Hadi walipokuja kustaarabika baada ya Mapinduzi ya umwagaji damu ya ya Ufaransa. Mapinduzu haya yalisababisha hadi Papa wa Kikatoliki kufia kizuizini kule Ufaransa. Baada ya pale wakristo waliona kumbe ni ujinga tu dini kuifanya kuwa Communal, ndo uhuru wa kuabudu unachotaka ukaja.

hata hawa wenzetu dunia inavyoenda kasi watakuja kuacha ujinga wa kuifanya dini kuwa suala la community badala personal.
 
ndio wapigane waislamu kwa waislamu?

Mola wao anahitaji ushauri kutoka kwa Dokta Janabi
Eeee Mkuu ikitokea mwislamu mwenzao kazingua wanakufa nae ili kuwahi bikira pia wameambiwa kwenye maandiko yao kutakuwa na mito ya pombe. mambo ni mengi kweli kweli kuliko MENGI yenyewe mkuu
 
Nah ! Ukiacha vatican zoote zinafuata secularism hakuna nchi inayoongozwa "kikristo".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…