Nchi za Kikristo zinawezaje kuishi kwa amani namna nii?

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Hizi ni baadhi ya nchi zinazo endeshwa kwa misingi ya kikristo na huwezi kuwa kiongozi wa dola ikiwa wewe si mkristo Malta, Armenia, Vatican, England, Denmark, Norway, Iceland nk.

Swali langu ni kwanini huwezi sikia vikundi vya waasi wa kilokole au waasi wa kikatoliki wakiwa msituni wakimpambania mola wao?

Kwanini nchi nyingine kama Syria utasikia sijui wa sunni wameingia msituni kupambana na wasia? Je wanafeli wapi?

Je, nchi zinazo jinasibu zinaongozwa kwa dini ya amani zinawezaje kukosa utulivu miaka nenda rudi?
 
Hizi ni baadhi ya nchi zinazo endeshwa kwa misingi ya kikristo na huwezi kuwa kiongozi wa dola ikiwa wewe si mkristo Malta, Armenia, Vatican, England, Denmark, Norway, Iceland nk...
Ukiiondoa Vatican hizo nchi nyingine zilizobaki ni atheists/ agnostics majority au nusu ya raia wake wengi ni wasio na dini/irreligious. Hizo nchi haziendeshwi kwa misingi ya dini yoyote.
 
Hizo nchi zina UTAJIRI wa aina yoyote mkubwa kama MAFUTA?

Zinaingiliwa na nchi zingine katika chaguzi zao, migogoro yao ya ndani n.k?

Hadi umri huo hujui kwanini baadhi ya nchi za imani tofauti na UKRISTO zinapigana vita vya kutengenezwa? Au umeamua kujifurahisha?
 
Kwahiyo izo nchi zinawatu wajinga kiasihicho,kwamba wanaweza kugombanishwa kirahisi kama wajinga? nahawajifuzi kilasiku?.
 
Hizi ni baadhi ya nchi zinazo endeshwa kwa misingi ya kikristo na huwezi kuwa kiongozi wa dola ikiwa wewe si mkristo Malta, Armenia, Vatican, England, Denmark, Norway, Iceland nk.

Swali langu ni kwanini huwezi sikia vikundi vya waasi wa kilokole au waasi wa kikatoliki wakiwa msituni wakimpambania mola wao?

Kwanini nchi nyingine kama Syria utasikia sijui wa sunni wameingia msituni kupambana na wasia? Je wanafeli wapi?

Je, nchi zinazo jinasibu zinaongozwa kwa dini ya amani zinawezaje kukosa utulivu miaka nenda rudi?
Mfalme wa Amani ni Yesu Kristo.
 
Wafundishe watu uvumilivu na upendo tu.Wataishi kwa amani.
 
Hizo nchi zina UTAJIRI wa aina yoyote mkubwa kama MAFUTA?

Zinaingiliwa na nchi zingine katika chaguzi zao, migogoro yao ya ndani n.k?

Hadi umri huo hujui kwanini baadhi ya nchi za imani tofauti na UKRISTO zinapigana vita vya kutengenezwa? Au umeamua kujifurahisha?
Somalia na afghanstan kuna utajiri gani huko?
 
Umeuliza swali la kivivu ukitarajia upate ufafanuzi ambao tayari kwa jinsi ulivyouliza swali yamkini unajibu lako hivyo wewe haupo tayari kuujua ukweli.

Ikiwa utautaka ukweli itabidi urudi nyuma uanze kusoma historia ya dunia na umalize usome siasa za dunia.

Hapo utapata ukweli kama lengo lako ni kujifunza na unataka kujua. Mpende kujifunze na kusoma itawasaidia kuwa na majibu ya maswali mepesimepesi.

Wewe hata nchi za kikiristo huzijui na bado unauliza swali la kitoto.Nina mashaka na uwezo wako wa akili na matumizi yake😄😄😄

Pia wewe hujui matumizi ya hiyo simu uliyonayo.

#ELIMU! ELIMU!ELIMU!
 
Hizo nchi zina UTAJIRI wa aina yoyote mkubwa kama MAFUTA?

Zinaingiliwa na nchi zingine katika chaguzi zao, migogoro yao ya ndani n.k?

Hadi umri huo hujui kwanini baadhi ya nchi za imani tofauti na UKRISTO zinapigana vita vya kutengenezwa? Au umeamua kujifurahisha?
kama wanachonganishwa huoni kuwa hawama akili?
 
Umeuliza swali la kivivu ukitarajia upate ufafanuzi ambao tayari kwa jinsi ulivyouliza swali yamkini unajibu lako hivyo wewe haupo tayari kuujua ukweli.

Ikiwa utautaka ukweli itabidi urudi nyuma uanze kusoma historia ya dunia na umalize usome siasa za dunia.

Hapo utapata ukweli kama lengo lako ni kujifunza na unataka kujua. Mpende kujifunze na kusoma itawasaidia kuwa na majibu ya maswali mepesimepesi.

Wewe hata nchi za kikiristo huzijui na bado unauliza swali la kitoto.Nina mashaka na uwezo wako wa akili na matumizi yake[emoji1][emoji1][emoji1]

Pia wewe hujui matumizi ya hiyo simu uliyonayo.

#ELIMU! ELIMU!ELIMU!
Umejibu nini sasa!? Kama una uelewa mpana zaidi ya mleta mada ungeandika hapa ila kwa ulichoandika ni kama umetuonesha kiwango chako cha ujinga.
 
Hizo nchi zina UTAJIRI wa aina yoyote mkubwa kama MAFUTA?

Zinaingiliwa na nchi zingine katika chaguzi zao, migogoro yao ya ndani n.k?

Hadi umri huo hujui kwanini baadhi ya nchi za imani tofauti na UKRISTO zinapigana vita vya kutengenezwa? Au umeamua kujifurahisha?
Kama wanakubali kugombanishwa basi hao ni wajinga tena wapumbavu wasio na Akili
 
Hizi ni baadhi ya nchi zinazo endeshwa kwa misingi ya kikristo na huwezi kuwa kiongozi wa dola ikiwa wewe si mkristo Malta, Armenia, Vatican, England, Denmark, Norway, Iceland nk.

Swali langu ni kwanini huwezi sikia vikundi vya waasi wa kilokole au waasi wa kikatoliki wakiwa msituni wakimpambania mola wao?

Kwanini nchi nyingine kama Syria utasikia sijui wa sunni wameingia msituni kupambana na wasia? Je wanafeli wapi?

Je, nchi zinazo jinasibu zinaongozwa kwa dini ya amani zinawezaje kukosa utulivu miaka nenda rudi?
Waarabu kwanini hawakimbilii nchi za Kislam wanakimbilia kwenye nchi za Kikristo?
 
Pendaneni, Mpende jirani yako kama NAFSI YAKO...

Kule ukifa ukiwa unaipambania dini wewe ni PEPO MOJA KWA MOJA..

Wapi na lini ulisikia Aliyejitoa Mhanga ni Mkristo??

Kule ukijitoa Mhanga unapata Swawabu
 
Attachments

  • FB_IMG_1733849512712.jpg
    FB_IMG_1733849512712.jpg
    46.2 KB · Views: 7
Back
Top Bottom