Nchi zinazopinga ushoga zinatumia kigezo gani? Mbona hazipingi ukahaba na uasherati?

Hujajua tu, pamoja na mapungufu Serikali nao wana akili, mpaka sasa pedi za wanawake kwa wote bado ni tatizo, sasa na kinyesi pakishatinduliwa pakabaki wazi bajeti ya pampas itatoka wapi? Ndo maana katika makosa yote hili linawekewa mkazo sana.
 
Wewe umeeleza sababu moja tu, ili ujitetee, lakini tunapinga sababu tu ni chukizo kwa Mungu tu, kama unavyofhani hata sisi tunachukia.

Kwa mfano wewe Baba na mama yako, walikupa matunzo ya mtoto wa kiume, Wazazi walikua wanakulea baadae uwasaidie kama mtoto wa kiume (DUME), kumbe wewe siyo Dume imebaki wakiume tu.

Sauti unataka kuongea ukiibana ifanane na ya kike, Udhaifu wa maungo, Kuto mudu kazi zinazo hitaji nguvu, kujiona wewe siyo sehemu ya wanaume bali mke, Wazazi wako kuzione kinyaa pesa zako, hivyo madhara ni mengi yanayowafanya watu kupiga vita ushoga.
 
Point hizi nchi za wapumbavu wao Uzinzi Ni halali lakini ushoga dhambi badala wapinge dhambi zote wao wanajikita Sehemu moja tu ni aibu taifa la watu wajinga
Mashoga leo wamechachamaa.
 
Wamepiga marufuku wakaona inaadhiri wananchi michepuko ndio inasaidia nchi kupata maendeleo maana wanawake wanaosaidia kumtuliza mwanaume na hata badhii ya wanaume ni wanawatuliza wamama so mtu akirelax kichwa Chake anawaza mengi nakuendelea.
 
Hao wanaopiga kelele wanafanya mambo mengi kinyume cha maumbile vyumbani. Mfano kunyonyana sehemu za siri mbona hakukemewi, halifanyiki kwa wingi?
 
Hicho ulichonacho ni kichwa kweli au shingo imevimba kwa juu?
 
Ukiacha wewe na mimi naacha shoga mwenzangu tunaefatilia nyuzi za mashoga
Hawezi kuwa shoga, huku akiupiga vita, sasa wewe ni sehemu ya mashoga, watu wakikutambua inaonyesha kuukataa kwanini.
 
Hawezi kuwa shoga, huku akiupiga vita, sasa wewe ni sehemu ya mashoga, watu wakikutambua inaonyesha kuukataa kwanini.
Mimi sio Shoga(Gay), mimi Lesbian,
Mimi pia ni LGBTQI+ Activist,
Sijajua ulitaka kusema nini
 

Machukizo ni mengi sana sio hilo tu,shida tunapambana na tatizo na wala si chanzo cha tatizo.
 
Hii mada ni nzuri sana

Umeharibu hapo kwenye aya ya mwisho
 
Hata kuku tu hawapandi jogoo kwa jogoo, sasa wewe binadamu uliepewa utashi na Mungu unataka upandane na mwanaume mwenzako
Jibu hoja za kwenye uzi wewe. Mbona uwezo wako wa kufikiri mdogo sana?
 
Mm natamani nguvu inayotumika kupinga ushoga itumike pia kupinga uzinzi. Kwasabb vyote ni dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…