Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi , Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari Leo Jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema “Kuna kauli ya BAVICHA tumeisikiwa wanasema Samia Must Go, yupo pale kwa mujibu wa Katiba, moja ya sifa ya Kijana anayeandaliwa vizuri ni kufundishwa kuheshimu Katiba… Wanaojua Demokrasia ndio maana Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA mpaka leo, zilipoanza kelele za Mbowe Must Go zimeshindikana kwa kuwa ni kinyume cha Katiba yao.”