Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana ni kweli. Huyu anakula tu pesa za maccm kwa mwamvuli wa upinzaniIsingekua Mbowe Ccm ingekua imeshatoka madarakani tangu 2015, Ccm wananufaika na Mbowe.
Ila kwasababu Tz Nyumbu ni wengi hawawezi kusoma mchezo
Kuelewa hili D mbili hazitoshi, ni mpaka sisi tuliosomea kiuba!!Nilitaka kukuona wewe mchambuzi mzuri na muona mbali. Lakini niliposoma hapo kwa Edo ndo nikaona kuwa na wewe kumbe ni wale wale wababaishaji wa siasa.
Ukweli ni kwamba Edo hajawahi kuhama CCM, bali alikuja kuvuruga ushindi wa Chadema na upinzani kwa ujumla baada ya kusikia kuwa vyama vya upinzani vina mpango wa kushirikiana ili visimamishe mgombea mmoja wa kupambana na CCM, na bila shaka mgombea huyo angekuwa ni Dr Slaa kwa wakati ule ndo alikuwa mwenye ushawishi mkubwa kwa upande wa upinzani.
Lengo la CCM kumtuma Edo upinzani ilikuwa ni kuhakikisha kuwa yeye ndo anatumia ushawishi wake na hata pesa zake alizopewa na CCM kumwangusha mgombea yoyote wa upinzani anaetarajiwa kuchaguliwa ili apitishwe yeye kuharibu uchaguzi.
Na kweli baada ya mission kukamilika alirudi alipotoka.
Hapana, ukiweka hisia kando utanielewa.Nilitaka kukuona wewe mchambuzi mzuri na muona mbali. Lakini niliposoma hapo kwa Edo ndo nikaona kuwa na wewe kumbe ni wale wale wababaishaji wa siasa.
Ukweli ni kwamba Edo hajawahi kuhama CCM, bali alikuja kuvuruga ushindi wa Chadema na upinzani kwa ujumla baada ya kusikia kuwa vyama vya upinzani vina mpango wa kushirikiana ili visimamishe mgombea mmoja wa kupambana na CCM, na bila shaka mgombea huyo angekuwa ni Dr Slaa kwa wakati ule ndo alikuwa mwenye ushawishi mkubwa kwa upande wa upinzani.
Lengo la CCM kumtuma Edo upinzani ilikuwa ni kuhakikisha kuwa yeye ndo anatumia ushawishi wake na hata pesa zake alizopewa na CCM kumwangusha mgombea yoyote wa upinzani anaetarajiwa kuchaguliwa ili apitishwe yeye kuharibu uchaguzi.
Na kweli baada ya mission kukamilika alirudi alipotoka.
Mbowe must goNadhani wote mmemsikia kwa makini Nchimbi, kama mme Connect dot vema mtagundua mbowe ni keen wa CCM and he is a stabilizer.
maandamano kuwekwa two weeks after, nikutafuta stabilization na kwa hakika hayatotokea kwa sababu gvt itanyamazisha wale vimbelembele wote.
maandamano yalipaswa kufanywa the following day baada ya kufanya kikao chao ; maandamano yanapswa kuwa shambulizi la kustukiza na sio kupanga, wakijua unapanga..... then utafeli.
Kwa mfano, Edo kuhama CCM ilikuwa ni shambulizi la kustukiza, it gave them hard time kumkabili Edo na walishindwa. Edo alishinda Urais, suala la nani alitangazwa hilo ni lingine.
Kuna kitu Chadema hampendi kusikia, Mbowe ni zuga boy , sio mpinzani, ni stabilizer . A day mbowe ataachana na Chadema ndio itakuwa rebirth ya chadema na kitaweza kuchukua dola.
For as long as mbowe yupo Chadema .... it will never happen, Mbowe hajawahi kuwa mpinzani.
Mpinzani wa kweli Chadema ni Tundu Lissu, this guy anamaanisha upinzani wake : Mnyika ni mpinzani wa kweli , Sugu ni mpinzani wa kweli. Mbowe ni zuga boy na hana tofauti na ZZK!
Kama huna D mbili, hutonielewa, samahani lakini.
Dr. Megalodon, Otawwa
Taratibu binti. Tuzipate fact zote.Mbowe must go
Zile SIMU ni kweli ;tatizo kubwa wanachadema wanaugonjwa wa Cognitive dissonance. Narudia tenaThere is sense, apparently, to what you are postulating mkuu. Mpaka sasa najiuliza zile simu (5x) anazodai Nchimbi kupigiwa na Mbowe mapema baada ya tukio zilikuwa na umuhimu/lengo gani?
Nchimbi kama nani mwenye umuhimu gani kwa CDM? Au ni uongo?
Mleta mada ni mweupe kabisa kimedani za siasa.Kuelewa hili D mbili hazitoshi, ni mpaka sisi tuliosomea kiuba!!
Kwani mbowe kawataja waliomuua mzee kibao ?Kawataja waliomuua Ally Kibao?