Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Matendo mnayoyafanya na mnayoyaongea ni ardhi na mbingu.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi , Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari Leo Jijini Dar es salaam.
Ndio Sukuma gang na Magufuli.Kawataja waliomuua Ally Kibao?
Wawarudishe wanachama wa cdm wakiwa hai au wamekufa. Bila kufanya walichofanya wamasai, ccm na serekali yao wataendelea kufaidika na huu ukatili wanaowafanyia wapinzani.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi , Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari Leo Jijini Dar es salaam.
😂😂😂Ndio Sukuma gang na Magufuli.
Hazikushindwa kwa sababu ya katiba bali hazikuungwa mkono na wengi. Hata hii kama haitaungwa mkono na watu wengi haitafanikiwa. Kumtaka kiongozi aliyekuwa madarakani aondoke ni sehemu ya uhuru wa maoni unaolindwa na Katiba. Kusema aondoke ni maana sanduku la kura ndio litamuondoa na si vinginevyo.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi , Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari Leo Jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema “Kuna kauli ya BAVICHA tumeisikiwa wanasema Samia Must Go, yupo pale kwa mujibu wa Katiba, moja ya sifa ya Kijana anayeandaliwa vizuri ni kufundishwa kuheshimu Katiba… Wanaojua Demokrasia ndio maana Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA mpaka leo, zilipoanza kelele za Mbowe Must Go zimeshindikana kwa kuwa ni kinyume cha Katiba yao.”
Kumbe hata wewe Nchimbi, unajua kuwa Chadema Wana Katiba yao, ambayo inamruhusu Mbowe awe ni Mwenyekiti wao Hadi sasa!
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi , Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari Leo Jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema “Kuna kauli ya BAVICHA tumeisikiwa wanasema Samia Must Go, yupo pale kwa mujibu wa Katiba, moja ya sifa ya Kijana anayeandaliwa vizuri ni kufundishwa kuheshimu Katiba… Wanaojua Demokrasia ndio maana Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA mpaka leo, zilipoanza kelele za Mbowe Must Go zimeshindikana kwa kuwa ni kinyume cha Katiba yao.”
Hii inaonyesha ni kiasi gani ccm na serikali yake ipo kwenye wakati mgumu kuamua mustakabali wa hali ilipofikia,hawakutegemea hali kuwa hivi ilivyo,sasa wanajaribu na kujitahidi kuwalegeza wananchi kwa kumzungumzia Mbowe kirafiki.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi , Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari Leo Jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema “Kuna kauli ya BAVICHA tumeisikiwa wanasema Samia Must Go, yupo pale kwa mujibu wa Katiba, moja ya sifa ya Kijana anayeandaliwa vizuri ni kufundishwa kuheshimu Katiba… Wanaojua Demokrasia ndio maana Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA mpaka leo, zilipoanza kelele za Mbowe Must Go zimeshindikana kwa kuwa ni kinyume cha Katiba yao.”
CCM Must Go!

Aondoke aende wapi ?!! 😲😲Ukitaka kumuondoa Samia CCM watamlinda KWA NGUVU ZAKE ZOTE.
Hajataja Kapiga Mapambio KaondokaKawataja waliomuua Ally Kibao?