Pre GE2025 Nchimbi anazungumzia kifo cha Kibao wa CHADEMA, asema "Zikianza kelele ‘Mbowe Must Go’ zinashindikana"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Sawa
 
W
Wawarudishe wanachama wa cdm wakiwa hai au wamekufa. Bila kufanya walichofanya wamasai, ccm na serekali yao wataendelea kufaidika na huu ukatili wanaowafanyia wapinzani.

Kusema Samia must go, ndio , uchaguzi unakuja, watu wasio mchagua ,atawndelea vipi kuwa kiongozi!? Utekaji na utesaji kisha mauaji holela yanayo endelea ,nchini , imawashawishi watu kuona kwamba ameshindwa kudhibiti hali ya usalama nchini, kama watu wanapotezwa hovyo, Bunge halichukui hatua, Serikali haichukui hatua, unatarajia vyama vya upinzani vibaki kimya!?
 
Yuko pale kwa mujibu wa katiba au kwa mujibu wa 'kijitabu'?
 
Kumtaka kiongozi aliyeingia ikulu kwa kuchaguliwa ( akiwa mgombea mwenza wa hayati JPM) eti aondoke kwa matakwa ya wajinga wachache ni dharau kwake huyo kiongozi na mfumo mzima uliohangaika kumweka ikulu.

Unapoidharau mamlaka ni lazima itashughulika na wewe, huo ndio ukweli wenyewe.

Tafuteni kazi, kuna uwekezaji mwingi sana unaendelea kufanyika ndani ya muda huu hapa Tanzania.
 
Takwimu za kipuuzi hatuzihitaji
Hilo ni jeshi la police au jeshi la wauaji
Juzi tu wameua mwanafunzi Geita
 
Ndio kasema nini hapo.Au anazugazuga tu.
Aweke wazi kuwa tamko la Mbowe ni la utovu wa nidhamu.
Hata asipokuwa Samia basi na yeye hafai kuwa raisi wa Tanzania.
 
Mkuu, kwa hiyo Tume ya Uchaguzi ya sasa sanduku la kura ni butu, halifanyi kazi. Wanatangaza mshindi wanayemtaka
Ndio maana badala ya kulaumu wanaosema mtu fulani aondoke inabidi wenye mamlaka watuhakikishie kuwa tutapiga kura kwa uhuru kabisa na zitahesabiwa na kutangazwa kwa uwazi na haki. Kama hicho hakiwezekani mbadala wake utakuwa mbaya.

Amandla...
 
Nukuu za Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Dkt. Emmanuel J. Nchimbi akizungumza kwenye Mkutano wa Wahariri na Waandishi Waandamizi wa Vyombo vya Habari tarehe 13 Septemba, 2024 Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba - Dar es Salaam.

 
Tafuteni kazi, kuna uwekezaji mwingi sana unaendelea kufanyika ndani ya muda huu hapa Tanzania.
Uwezekezaji? Uliwahi kusikia kauli ya hayati Mkapa kuhusu maamuzi ya kuachia miradi ya serikali chini ya wawekezaji?
Serikali kubinafsisha rasilimali zake kwa wawekezaji ni kukwepa uwajibikaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…