Pre GE2025 Nchimbi anazungumzia kifo cha Kibao wa CHADEMA, asema "Zikianza kelele ‘Mbowe Must Go’ zinashindikana"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nilitaka kukuona wewe mchambuzi mzuri na muona mbali. Lakini niliposoma hapo kwa Edo ndo nikaona kuwa na wewe kumbe ni wale wale wababaishaji wa siasa.

Ukweli ni kwamba Edo hajawahi kuhama CCM, bali alikuja kuvuruga ushindi wa Chadema na upinzani kwa ujumla baada ya kusikia kuwa vyama vya upinzani vina mpango wa kushirikiana ili visimamishe mgombea mmoja wa kupambana na CCM, na bila shaka mgombea huyo angekuwa ni Dr Slaa kwa wakati ule ndo alikuwa mwenye ushawishi mkubwa kwa upande wa upinzani.

Lengo la CCM kumtuma Edo upinzani ilikuwa ni kuhakikisha kuwa yeye ndo anatumia ushawishi wake na hata pesa zake alizopewa na CCM kumwangusha mgombea yoyote wa upinzani anaetarajiwa kuchaguliwa ili apitishwe yeye kuharibu uchaguzi.

Na kweli baada ya mission kukamilika alirudi alipotoka.
 
Isingekua Mbowe Ccm ingekua imeshatoka madarakani tangu 2015, Ccm wananufaika na Mbowe.
Ila kwasababu Tz Nyumbu ni wengi hawawezi kusoma mchezo
Inawezekana ni kweli. Huyu anakula tu pesa za maccm kwa mwamvuli wa upinzani
 
Kuelewa hili D mbili hazitoshi, ni mpaka sisi tuliosomea kiuba!!
 
Hapana, ukiweka hisia kando utanielewa.

Do you know much Mbowe was paid kumu accomodate Lowassa ?whose fault is that , edo or mbowe? Edo alikuwa anatafuta reliefs baada ya kukataliwa, it was mbowe kumkataa na yeye il asimamie misingi ya Chadema ,it is all because of mbowe
Let’s say Edo alitumwa, then mbowe angekataa kumpokea , je kungekuwa na impact yoyote?
Kataa ujinga, make your reasoning reasonable

, Mbowe is snitch and because of him , Chadema has no future

Swallow it
 
Mbowe must go
 
There is sense, apparently, in what you are postulating mkuu. Mpaka sasa najiuliza zile simu (5x) anazodai Nchimbi kupigiwa na Mbowe mapema baada ya tukio zilikuwa na umuhimu/lengo gani?

Nchimbi kama nani mwenye umuhimu gani kwa CDM? Au ni uongo?
 
There is sense, apparently, to what you are postulating mkuu. Mpaka sasa najiuliza zile simu (5x) anazodai Nchimbi kupigiwa na Mbowe mapema baada ya tukio zilikuwa na umuhimu/lengo gani?

Nchimbi kama nani mwenye umuhimu gani kwa CDM? Au ni uongo?
Zile SIMU ni kweli ;tatizo kubwa wanachadema wanaugonjwa wa Cognitive dissonance. Narudia tena
Mbowe sio Mpinzani bali ni opportunist.

Mbowe Hana tofauti na Maalim Seif , ZZK .

Ndio manaa Pascal mayalla. Mwandishi nguli na mwenye weledi anasisitza tanzania hakuna upinzani wa kuitoa CCM
Maandamano unaweka 14 days , CCM ikuangalie, sio kwamba hajui, bali hapo anasubiri fungo lake , jamaa ni
Snitch and not to be trusted at all

I wish sana uenyekiti achukue Lissu, Mbowe astaafu…. Naamini chadema itapata rebirth

Otherwise ni waste of time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…