Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Wanasiasa wanajuana wenyewe kwa wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasiasa wanajuana wenyewe kwa wenyewe
Kumbe NehemiaSawa tumekusikia ndugu Nehemia Mchechu....
Hakika Katibu wangu...Kwanza kiongozi anayegawanya watu Hana kujiamini na ana wasiwasi kwakua anajua anapwaya...Kiongozi anayejiamini na anayefanya Kwa weledi hawezi kuwa Kila mara anawaza watu wanasema Nini kwanini na kuweka wambea wakumpelekea maneno maneno yakuokotezaNiwaombe wana CCM wanaoshinda uchaguzi katika ngazi zote, kiongozi wa kweli ni mnyenyekevu na habagui anaowaongoza, waunganishe watu wote waliokuwa chini yako.
Huwezi kuwa wewe una vikosi vya upelelezi muda wote unatafuta wenzako wanasema nini. Binadamu ana haki ya kufikiri, anaweza akayona ya kwako mazuri 100 akayongelea na akayona mabaya ya kwako mawili akayaongelea. Sasa wewe utasikia yale mawili yale 100 hutasikia. Hivi huyu kakkukosea nini kama kakusifia mara moja kakusema vibaya mara mbili? Kuna shida hapo? Hamna shida yoyote n ani haki yake kufikiri siyo? Hajatumi aubongo wako wewe kufikiri katumia ubongo wake, hajatumia nguvu yako yoyote kufikiri.
Kwahiyo niseme, viongozi wa kuchaguliwa katika chama chetu tunaomba wawe wanyenyekevu, na wasiwagawanye watu. Tutawapima viongozi wetu kwa jinsi wanavyounganisha watu na siyo wanavyowagawanya. Maeneo ambayo yamejaa mipasuko ni matokeo ya kuwa na uongozi unaotamani kugawanya watu
Dkt. Nchimbi amezungumza hayo wakati alipokutana na viongozi wa ngazi mbalimbali wa CCM mkoani Katavi jana, Jumamosi Aprili 13. 2024.
Jambo TV
Katibu na kuongea wapi na wapi? Yeye ni strategistChongoro alikua vizuri kuliko huyu Nchimbi...
Huyu jamaa hata kuongea hajui...
Nina wasiwasi kama ataweza kumsaidia raisi...
Watu aina ya Nchimbi hua vizuri kwenye mikakati.
Yes, jamaa ana maneno flani ya busara, na anaonekana aliingia darasani kweli kweli,pamoja na kuwa ni mtoto wa kiongozi mwandamizi.Message sent.
Mbona Bashite hajui kuongea na amekuwa kiongozi mkubwa tu??Chongoro alikua vizuri kuliko huyu Nchimbi...
Huyu jamaa hata kuongea hajui...
Nina wasiwasi kama ataweza kumsaidia raisi...
Watu aina ya Nchimbi hua vizuri kwenye mikakati.
Mko desparate sana na Makonda...Mbona Bashite hajui kuongea na amekuwa kiongozi mkubwa tu??
Alishawahi kuleta watalii wangapi nchi hii?Mwanza tunamhitaji, tunataka watalii wapitie mwanza tuachane na arusha