Vianelly Vian
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 337
- 100
Mara zote sisi huomba kitu tusichokuwa nacho. Nahisi mh. Hana moyo wa kusamehe. Je ni visasi vingapi amelipa mpaka sasa?
Haahaha nilikuwa sijajua kumbe yeye ndiye aliyemuua mwangosi du hatari sana
Siku si nyingi utasikia Nchimbi kachanganyikiwa.
Watanzania walio wengi hawana maadili kwa vile somo la elimu ya maadili (Moral Ethics) halifundishwi katika vyuo vya Tanzania. Matokeo yake ndiyo sasa tunayaona: rushwa, ushirikina, mauaji, ubakaji, wizi uliokithiri wa mali ya umma, ukosefu wa uzalendo, utapeli na mengine mengi.
Hana jipya wizara aliyopewa kashindwa kuisimamia itakiwavyo na kinyume chake amekuwa akilihujumu na taifa na serikali ya JK sijui ninani kamtuma? Mungu hatomuacha kila mnafiki salama.
Hana jipya wizara aliyopewa kashindwa kuisimamia itakiwavyo na kinyume chake amekuwa akilihujumu na taifa na serikali ya JK sijui ninani kamtuma? Mungu hatomuacha kila mnafiki salama.