Aminata B Ruhinda Ntare
JF-Expert Member
- Dec 9, 2024
- 243
- 1,180
Nimeangalia jina nisha edit babes😅
Napenda wadada wa kujenga hoja kama wewe in love with you 😍
Shukran tuendelee hiki ndiyo kijiwe chetuHata mimi pia nafurahia nyuzi zako…unandika vitu vinavyoelimisha na kufanya watu wafikiri 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Thank you champ!Itoshe kusema watu aina yako humu Jukwaani ni wachache sana. Big up for the follow up.
Well said mkuu.Very articulate!
Super logical!
Hata mimi nachelea sana kumuita huyu jamaa shujaa. Kama kweli yuko upande wa wananchi, kwa nini alikubali kujiunga na serikali dhalimu iliyojiweka madarakani baada ya kuua maelfu ya Watanzania? Angeingia kwenye vitabu cha historia kama immediately wakati wa kuapishana vichochoroni huko angesema kuwa mimi siwezi kujiunga na serikali hii kwa sababu naamini haikupatikana kwa haki.
Badala yake ameingia serikalini. Mwaka umepita. Mamilioni kapiga na mafao ya mabilioni yanamsubiri yeye na mkewe. Eti ndiyo anajitoa. Kuna walakini mkubwa sana maana mianasiasa hii haiaminiki hii. Si ajabu tu wamezidiana kete huko ndani kwenye madili yao. Au mfumo haumtaki kwa ajili ya 2030 ndo tunachezewa hivi.
Hata mimi nasubiri mpaka Akija kupata nafasi aeleze kilichotokea ndiyo nitamwamini japo kidogo, vinginevyo ni drama za kisiasa tu! 🚮
Hapa sasa ndiyo najiuliza ina maana mpaka Samia anatoa pendekezoSamia ndie alipendekeza jina kabla ya uchaguzi mkuu ili Dr. Nchimbi awe mgombea mwenza.
Baada ya uchafuzi kufanyika, Samia kuapishwa kambi ya jeshi, na Dr. Nchimbi ndio akawa makamu wa Rais.
Hongera sanaMimi ni chadema ila huyu jamaa kanifurahisha kukataa kukaa meza Moja na majambazi.
Dr. Nchimbi baadae alionekana kwenda kinyume na misimamo ya Samia kwenye baadhi ya mambo.Hapa sasa ndiyo najiuliza ina maana mpaka Samia anatoa pendekezo
Kua makamu wake awe ni Nchimbi si aliona atafaa maana wanafahamiana wayback sasa nini kimetokea kaka?
Sasa kaka mpka Nchimbi anakubali uteuzi wake alikua hajui misimamo ya Samia?Dr. Nchimbi baadae alionekana kwenda kinyume na misimamo ya Samia kwenye baadhi ya mambo.
Mojawapo ni pale Dr. Nchimbi alipowataka watanzania wapiganie katiba mpya. Hapo ndipo alipomkera Samia mpaka kununiwa na hatimaye kulazimika kujiuzulu baada ya kuona Samia hamuamini tena.
Haya mambo huwa yanabadilika kama upepo, siasa na mambo yake huwa hayatabiriki.Sasa kaka mpka Nchimbi anakubali uteuzi wake alikua hajui misimamo ya Samia?
Kama alijua na akaona haendani nayo. Kwanini akakubali kuapiswa kua makamu wa Rais?
Mianasiasa hii wakati mwingine inatuchezea akili tu 🚮Well said mkuu.
Jina lako huwa linanichekesha sana 😂
Hiyo ni mbaya. VP ndiye mshauri #1 wa rais. If they differ there is no way. Has to go.Dr. Nchimbi baadae alionekana kwenda kinyume na misimamo ya Samia kwenye baadhi ya mambo.
Mojawapo ni pale Dr. Nchimbi alipowataka watanzania wapiganie katiba mpya. Hapo ndipo alipomkera Samia mpaka kununiwa na hatimaye kulazimika kujiuzulu baada ya kuona Samia hamuamini tena.
Safi kabisa umewaza kwa kinaSwali la msingi liko hapa
Kwanini alikubali uteuzi !
Sasa hivi tuna amini vipi kama alichofanya ni kwa maslahi ya taifa au matarajio aliokua nayo yameyeyuka
Gen Z mnajua nini kwenye mapinduzi ya kupata uhuru wa taifa hili😆😆Nyerere hana ushujaa wowote
Huyo intuition inaniamba alikuwa mswahilina tu, hakuna kazi alofanya. Pia akaleta muungano uchwara Saizi taifa linaangamia tu. Nothing to be proud of,Gen Z mnajua nini kwenye mapinduzi ya kupata uhuru wa taifa hili😆😆
😆😆😆sawa bana shida sio zangu,tik tok ndiyo mnaitumia kama kuitafuta historia ya mambo ya kake,muwe mnaenda maktaba ya taifa kuna vitabu vya kutosha utajifunza mengiHuyo intuition inaniamba alikuwa mswahilina tu, hakuna kazi alofanya. Pia akaleta muungano uchwara Saizi taifa linaangamia tu. Nothing to be proud of,
Shukran sana mkuuHaya mambo huwa yanabadilika kama upepo, siasa na mambo yake huwa hayatabiriki.
Huyu Samia mwanzo akiingia madarakani, ambapo Dr. Nchimbi alikuwa makamu wake, Samia alikuwa very friendly.
Pale ndipo Samia alipokuja na zile 4R zake, maridhiano yakiwepo.
Lakini Samia wa siku hizi anachojua ni kuteka, kupiga, na kuua.
Hapo ndipo walipoanza kutofautiana na Dr. Nchimbi mpaka Nchimbi akatuambia tupiganie Katiba Mpya.
Alijua kwa hii katiba ya sasa inayomfanya Rais aonekane mungu mtu tutateseka sana.
Kuna mambo ya nafikirishaSafi kabisa umewaza kwa kina
SawaKwa kifupi fridge lake haligandishi