At last everything out!Spill overs
Ndo mana sijafuta hy commentWeka akiba ya maneno
Hujasoma taarifa hadi mwisho?Hii ni dharau.
Yaani unaandika Taarifa kwa Uma kujiuzulu badala ya kumuandikia bosi wako??
Kimbelembele kimekuponzaMuosha Vyombo wa Marekani uwe na classified information?π
Mkuu wewe na britanicca tumewanyooshea mikono.ππππ
Sasa hiyo taarifa anatoa nani ?Hujasoma taarifa hadi mwisho?
Alishamuandikia bosi wake muda ndiyo akatangaza kwenye akaunti yake ya social media maana hakatazwi kufanya hivi.
Amefuata utaratibu wa kikatiba kumuandikia barua bosi wake.Sasa hiyo taarifa anatoa nani ?
Maana kujiuzulu kuna kukubaliwa au kukataliwa.
Umetisha mkuu, tupe next move πHii ni very classified information.
Siongezi neno
Mto wa mbu
State of Illinois
πOk
Ova
Nakusalimia kakanonsense π
Kiko wapiHakuna kitu kama hicho
Hapo vipi sasa hujafa tu?Yani mtu aachie mshahara wa 60m per month, perdiem ya 5 na mirija ya pesa kibao.?
Endeleeni kujipa moyo
Aibu naona mimiNCHIMBI NI KIJANA ALIYEKULIA UVCCM, NA SIYO MTU DHAIFU KIASI HIKO,NA NDANI YA CCM HAKIPO KILE MNACHOFIKIRIA!......π
Humu watu wanaleta dharau, jina la VP ninalo tayariKiko wapi