Ndege aina ya Airbus A220 ya (ATCL) ilifikaje nchini Uholanzi na kukamatwa?

Ndo wale walichapana Risasi na Zakaria tarime au siyo?
 
TABIA YA NCHI NDIYO ILISABABISHA IFIKE HUKO.
 
Miongoni mwa kazi za idara ni kulinda rasilimali za nchi ndio maana maafisa huchomekwa kila mahali ili kukusanya taarifa na kuzifanyia kazi kabla majanga hayajatokea.

Sasa Tiss walikuwa wapi hadi lijidege tuliloambiwa kuwa halina uwezo wa kupaa likafika Netherlands πŸ‡³πŸ‡±? Tiss inatakiwa iwe ni jicho la nchi, but something fishy is going on
 
Ukisoma kwa makini chanzo Cha kukamatwa ndege yetu huko Netherlands utaona wazi kuwa huu ni mchongo wa wazi kabisa.

Kwa niaba ya watanzania wazalendo nauliza ndege yetu ilifuata Nini Nethelands?
Tunamalizia kupiga deki barabara mama apite, tukimaliza kujigalagaza tutarudi kwenye habari ya ndege
 
Nailewa sana hoja yako kakaa mkubwa! Ila, kwakuwa bado hatujui imefikaje huko basi tuvute subra. Kama hadi gazeti na siye raia tunajua basi Idara itakuwa inajua zaidi ya mara 100 na hata kinachoendelea kipo viganjani mwao. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Waliipeleka wenyewe baada ya mambo kuwa magumu
 
Sawa tufanye kuwa tumekubaliana na rai yako, una maoni gani juu ya;

1. Namna ndege ilivyofika uholanzi na kushikiliwa.

2. Jinsi vijana wengi wa uvccm wanavyojinasibu kuwa wao ni usalama wa taifa na hasa pale wanapokutwa na uovu na hata likiibuka hakuna taarifa kutoka idara husika kutoka hadharani kukanusha. Rejea ya Sabaya, Alihappy nk
 
Ukitaka kujua wapo suabiri 2025
 

 
Ndege iliyotengenezwa Canada πŸ‡¨πŸ‡¦ inaenda kuchekiwa Uholanzi, kwanini iingepelekwa kwa mtengenezaji Canada 🍁?
Issue ni Engine... na manufacturer anaweza kuwa na vituo nchi mbalimbali. Swala hapa ni upumbavu wa kuvunja mikataba hovyohovyo. Hawana gharama hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…