Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Taarifa kuhusu Usalama wa hizi ndege ni jambo ambalo limekuwa likisemwa na kuhojiwa, sasa sijui serikali walikuwa hawajui au tatizo limeisha na sass hizi ndege zinaruhusiwa kuruka, mimi na wewe ndio hatujui.Sagura Sagura Sagura Mitumba, Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu...
Halafu itapangiwa safari za Mwanza, sasa sisi watu wa huko tuko roho juu sana kwa kusikia watu walioko huko jikoni wanasema kwamba haziko salama. Tumwamini nani sasa au ndio mpango wa kuja kututoa kafara kiaina?Mimi nilishangaa sana nilipo ona hiyo ndege mpya ndo hiyo 737 Max!
Sipandi tena ndege za ATCL.
Mpwaa hii sioo kama Ile ilodondokaga sikunbuki Malaysia wakaipiga KELELEE sanaMimi nilishangaa sana nilipo ona hiyo ndege mpya ndo hiyo 737 Max!
Sipandi tena ndege za ATCL.
Wataalam Sijui Vp MkuuTaarifa kuhusu Usalama wa hizi ndege ni jambo ambalo limekuwa likisemwa na kuhojiwa, sasa sijui serikali walikuwa hawajui au tatizo limeisha na sass hizi ndege zinaruhusiwa kuruka, mimi na wewe ndio hatujui.
Huyu jamaa wa Boeing kasema kwamba 737-8 na Dash-9 zote sio salama - msikilize kuanzia dakika ya 5.20 kuendelea.hii na ile ya Ethiopia iliyouwa watu wote zinafanana au la?
ile ya Ethiopia iliuwa na wakenya kadhaa kisha wakenya wakatuzodoa kwamba akuna mtanzania hata mmoja aliyekufa,mara tena hoo " watz atuna exposure,atusafiri,atufanyi biashara za kimataifa,atuna hela za kupanda ndege na kejeli kabao.
hii yetu ni 737 Dash-9 series.ile iliyouwa Ethiopia na Malaysia ni 737 Dash-8.Huyu jamaa wa Boeing kasema kwamba 737-8 na Dash-9 zote sio salama - msikilize kuanzia dakika ya 5.20 kuendelea.
Haiko salama kwa maelezo ya hao watalaam wenyewe- sikiliza dakika ya 12 anasema kwamba kuna issue- alerting system na mazagazaga kibaohii yetu ni hiyo 737 Dash-9 series.
Fcuk it. Ntapanda Ally’s au Najmunisa.Halafu itapangiwa safari za Mwanza, sasa sisi watu wa huko tuko roho juu sana kwa kusikia watu walioko huko jikoni wanasema kwamba haziko salama. Tumwamini nani sasa au ndio mpango wa kuja kututoa kafara kiaina?
Najmunisa - hili liko poa sana, ndio lilikuwa langu wakati miaka ya 1994.Fcuk it. Ntapanda Ally’s au Najmunisa.
yap nimemsikia huyo Ed Pearson aliuewahi kuhudumu iyo kampuni ya Boeing.Haiko salama kwa maelezo ya hao watalaam wenyewe- sikiliza dakika ya 12 anasema kwamba kuna issue- alerting system na mazagazaga kibao
Likitokea la kutokea (japo tunasali sana lisitokee) utasikia imeundwa timu ya wataalam wetu kufuatilia na Taarifa itatolewa baadaye - wananchi tunaombwa tuwe watulivu katika kipindi hiki kigumu tuwaachie wataalam wetu wafanye kazi. Dah.Watuambie, ni salama au sio salama na wamejiridhishaje? ni hayo tu. Wasiwasi ni mwingi... hatuna majaliwa ( wa ziwa Victoria) wa kutosha
Ngoja, labda akina Ladslaus Matindi wana majibu ya Uhakika na usalama wa hii maxi 9 kabla jambo halijawa jambo. Naona leo wameanza safari za Dubai- Good luck to them.yap nimemsikia huyo Ed Pearson aliuewahi kuhudumu iyo kampuni ya Boeing.
hata mifumo ya autopilot ya hizi ndege ni cheche.
kwa hiyo majibu wanayo tayari, na mwisho wa siku Pilot ndio anapokea lawama kama kule Ethiopia.Likitokea la kutokea (japo tunasali sana lisitokee) utasikia imeundwa timu ya wataalam wetu kufuatilia na Taarifa itatolewa baadaye - wananchi tunaombwa tuwe watulivu katika kipindi hiki kigumu tuwaachie wataalam wetu wafanye kazi. Dah.
Mwee! Mtoto wa nyoka ni nyoka tuu. Tuchukue tahadhari kubwa sana. Hilo dude liki-misbehave angani hatoki mtu hapo.hii yetu ni 737 Dash-9 series.ile iliyouwa Ethiopia na Malaysia ni 737 Dash-8.
Aisee! Sijui nani katuroga. Hivi hakuna aina nyingine za ndege ni aina hiyo tuuu au kuna kitu/kamchezo fulani??kwa hiyo majibu wanayo tayari, na mwisho wa siku Pilot ndio anapokea lawama kama kule Ethiopia.
Itakuwa mtafutano hadi basi huko Angani... halafu watu wanasema tumtegemee Mungu, hivi tahadhari huwa ni makosa kuchukuliwa?Mwee! Mtoto wa nyoka ni nyoka tuu. Tuchukue tahadhari kubwa sana. Hilo dude liki-misbehave angani hatoki mtu hapo.
Wangeenda basi Airbus maana naona mambo yao yamenyooka kulik boeingAisee! Sijui nani katuroga. Hivi hakuna aina nyingine za ndege ni aina hiyo tuuu au kuna kitu/kamchezo fulani??
Mwee! Mtoto wa nyoka ni nyoka tuu. Tuchukue tahadhari kubwa sana. Hilo dude liki-misbehave angani hatoki mtu hapo.