Mayai ya kware yanapatikana bei poa. nunua ujaribu....
utapata mabadiliko ya afya....
utayapenda... bei ni 12,000/= kwa trey. call 0779420000.
nipo dar kinondoni.
Piga namba hizi 0682169798, 0754436126 kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga vya Kware, Kware kwa ajili ya nyama/kitoweo pamoja na ushauri wa ufugaji wa Kware na biashara ya Kware kwa ujumla.
Kware hawawezi kusepa kweli au nao unaweza ukawazoesha wakawa kama kanga maana kware wajanja wajanja sana yaani vifaranga vyake ukivichanganya na kuku inakuwa ngumu kuvitofautisha kama vimetotolewa siku moja lakini baada ya siku kadhaa vinakuwa viota manyoya na kuanza kuruka (ni swali tu la ufahamu naomba nifahamishwe)
Piga namba hizi 0682169798, 0754436126 kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga vya Kware, Kware kwa ajili ya nyama/kitoweo pamoja na ushauri wa ufugaji wa Kware na biashara ya Kware kwa ujumla.
The Quail is considered a very promising micro Poultry-farm species for rural and urban development because it requires little capital, equipment, space and labor, and provides an inexpensive, readily available and high quality meat and eggs. From prehistoric times, it has been raised for food in Japan and America. Quails are now also reared for meat and eggs in different countries of America, Asia and Africa.
Kutokana na nutrients 78 za katika yai la kware inasaidia kuiweka afya yako njema na kati ya hizo 31 hazipatikani kwenye kuku pata chakula hiki bora kwa ajili ya afya yako
Kwasababu ya its restorative power kwenye cell mbalimbali za binadamu ndio maana mayai haya yanatajwa kuwa moja ya chakula bora kwa makuzi na kuimarisha ubongo kwa binadamu
Kwa kweli ukiendelea kujifunza jambo utaendelea kupata moja mbili mayai ya kware ni moja ya chakula muhimu sana kwa watoto Japan kinashauriwa watoto na mama wajawazito wale ili kutengeneza ubongo wa mtoto uwe vyema na ni moja ya nchi ambayo inawafuga sana wanyama hawa
Kware ni jamii ya ndege Pori, kwa maana ukimuacha huru kama kuku yeye huwa harudi. Kwa hiyo ni ndege anayepaswa kufugwa akiwa ndani ya Banda muda wote na siku zote. Na kwa sababu hii, si vyema kuwachanganya na kuku kuepuka usumbufu huu. KARIBU BROTHER!