Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini mpaka sasa umepata kusikia faida za mayai ya kware na nyama yake nayo haina mafuta na ni tamu ukihitaji tafadhali piga 0788-318671 bei yake ni Tshs 10,000 kwa mmoja. Ahsante
Mkuu mmoja anaweza kufika uzito gani?Kiswahili chake asili kweli ni tombo lakini ambacho kimetoolewa kutoka kingereza Quail ndio kware, kwahiyo hapo umeweka msisitizo kwenye utamu wake. Ahsante kila la heri
wabongo wengi ni wabishi sana! Kware na Kanga ni ndege wa porini means ni nyara za serikali, kisheria ukikamatwa unawafuga bila kibali cha wizara au idara ya maliasili INANG'ATA kwako! Sema kiubishiubishi watu wanafuga tu lakini ni kinyume na sheria na wakikuotea utafunguliwa mashtakaNasikia kufuga kware ni mpaka upate kibali cha maliasili. Watu wanafuga tu lakini siku wakikuotea inakula kwako. Anayefahamu utaratibu wa kupata kibali atujuze.