Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

Nasikia kufuga kware ni mpaka upate kibali cha maliasili. Watu wanafuga tu lakini siku wakikuotea inakula kwako. Anayefahamu utaratibu wa kupata kibali atujuze.
 
Mayai ya kware kwa ubora wake yana nutrients 31 zaidi ambazo haziko kabisa kwenye mayai ya kuku, pata leo kwa faida ya familia yako kama chakula bora wewe na familia yako.
 
Mayai haya unakula kama yale ya kuku kwa kuchemsha, kukaanga au kuweka ndani ya vitu vingine na kuchanganya na vitu vingine
 
Nyama ya ndege hawa ambayo huwa haina mafuta ni nzuri kwa afya yako pata kwa familia yako leo
 
Kwa ajili ya kuimarisha afya yako na kuweka katika hali swafi pata mayai ya kware kwa ajili ya familia yako yote ni nyongeza nzuri kwenye mlo wako
 
Naamini mpaka sasa umepata kusikia faida za mayai ya kware na nyama yake nayo haina mafuta na ni tamu ukihitaji tafadhali piga 0788-318671 bei yake ni Tshs 10,000 kwa mmoja. Ahsante

kwa hiyo bei napewa akiwa mzima au napewa nyama yake tu?
 
Hiyo akiwa mzima ila ikipenda kuchinjiwa na awe amenyonyolewa huduma hiyo ni bure.
 
wewe unauza hawa kwale lakn hata ckumoja cjawah kuona pcha halzi za kwale wako walikwenye banda lako la kufugia ila unacho fanya nikubandika pcha tu toka kwemye internet.
 
Week mbili zilizopita mtu mmoja ambaye alikuwa anasumbuliwa sana na gout alianza kutumia ambapo alikuwa amevimba sana mikono na magoti mara baada ya kuongeza kwenye mlo wake chakula hiki bora kwa sasa ule uvimbe aliokuwa nao umenyea kabisa itabidi sasa niwatafute wataalamu kunielewesha zaidi, pata chakula hiki bora kwa afya ya familia nzima.
 
Ngoja niendelee kula hawa kuku wetu wa wiki3 wanaokuzwa kwa "arv"
bcoz wao wana up 1kg kwa 3,700 tuuuuu!!
But big up kwa ujasiamali.
 
Kware gani hawa? Mimi najua wale wenye miguu ya red.. Way back tulikuwa tunawawinda balaa..
 
Jiweke vyema katika afya yako kwenye eneo la kuimarisha afya ya ubongo wako kwa kutumia mayai mawili mpaka matatu ya kware kila siku ni chakula bora kwa afya yako
 
Nasikia kufuga kware ni mpaka upate kibali cha maliasili. Watu wanafuga tu lakini siku wakikuotea inakula kwako. Anayefahamu utaratibu wa kupata kibali atujuze.
wabongo wengi ni wabishi sana! Kware na Kanga ni ndege wa porini means ni nyara za serikali, kisheria ukikamatwa unawafuga bila kibali cha wizara au idara ya maliasili INANG'ATA kwako! Sema kiubishiubishi watu wanafuga tu lakini ni kinyume na sheria na wakikuotea utafunguliwa mashtaka
 
Mayai haya yana madini mengi ya calcium. potassium na iron mazuri kwa afya yako
 
Back
Top Bottom