Ndege iliyombeba Waziri mkuu Mwigulu yashindwa kupaa; yalazimika kurejea airport

Kawaida sana hiyo,we kama unasafiri na mabus utajuaje.
Tushawahi kuwekwa masaa mawili hewani hali ya hewa haikuruhusu kutua.
Toka Italy tulikaa pori ndege imepoteza dira tukatua Sudan sio Addis.
Miaka mingine Qatar A380 toka Hearthrow ilikoswakoswa na makombora tukavalishwa majacket yale na Pilote akatangaza kabisa tuko danger zone.
Na ndege ilishushwa wapi huko vijijini salama.
Hizo coinsidence unaleta wewe,kama ni kumzuru hao jamaa hawana haja hata kumpakia ndege.
 
Huyo hata angekufa hana faida zaidi ya siasa za hila na ghiliba.
 
Asante Mungu kwa kumlinda Waziri Mkuu wetu. Naanza kuamini, ni kweli Waziri Mkuu anawindwa na wabaya wake wanaomhofia mwaka 2030. Mara tunasikia amenusurika sumu, mara tusikie atolewe kwenye nafasi. Heeeee!!!

Yaani imagine maombi haya yanafanywa na kitu yenye ID inaitwa KUZIMU 😃😃
 
*****... Huyo rubani vipi asee!! Lingelipuka huyo roho mbaya akafia humo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…