figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Huyo Rubani hana akili. Kwanini asingeipeleka ikatua kwenye Pori la Msata? Pumzika kwa Amani Filikunjombe.Ninasikia rubani akisema wakati ndege ilipotaka kuruka, alipokea ishara ya tatizo kwenye injini moja
Hebu unganisha na ile picha ya hayat bonge tulinganishe body language.Hii ndio faida yake??
Ni mwendo ule ule wa safisha safisha!?Ndege iliyokuwa imembeba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, imeshindwa kupaa na kulazimika kutua tena.
Niko hapa Airport, umeingia msafara wa VIP. Tumemwona Waziri Mkuu akienda kupanda ndege. Sijui alikuwa anaelekea Arusha au Dodoma. Ndege imeondoka, ikaingia kwenye njia ya kurukia, ikachochea na kuanza kupaa, lakini ghafla ikashindwa kuendelea na kurudi chini. Naona imeacha njia ya kuruka na kugeuka, ikamrudisha Waziri Mkuu mpaka eneo la VIP hapa.
Ninasikia rubani akisema wakati ndege ilipotaka kuruka, alipokea ishara ya tatizo kwenye injini moja. Swali ni: hawakuliona tatizo hilo kabla ya ndege kuanza kuruka mpaka ifike kwenye hatua ya kupaa na kulazimika kutua ghafla?
Asante Mungu kwa kumlinda Waziri Mkuu wetu. Naanza kuamini, ni kweli Waziri Mkuu anawindwa na wabaya wake wanaomhofia mwaka 2030. Mara tunasikia amenusurika sumu, mara tusikie atolewe kwenye nafasi. Heeeee!!!
Amenusurika mara ya pili, mara ya tatu watahakikisha hachomoki. Kupiga magoti hakukusaidia sana.Mawindo ni makali..!!
Warm up warning..😂Why sasaa😂😂
mtoto wa Samia.Nani ana faida?
Ndege iliyokuwa imembeba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, imeshindwa kupaa na kulazimika kutua tena.
Niko hapa Airport, umeingia msafara wa VIP. Tumemwona Waziri Mkuu akienda kupanda ndege. Sijui alikuwa anaelekea Arusha au Dodoma. Ndege imeondoka, ikaingia kwenye njia ya kurukia, ikachochea na kuanza kupaa, lakini ghafla ikashindwa kuendelea na kurudi chini. Naona imeacha njia ya kuruka na kugeuka, ikamrudisha Waziri Mkuu mpaka eneo la VIP hapa.
Ninasikia rubani akisema wakati ndege ilipotaka kuruka, alipokea ishara ya tatizo kwenye injini moja. Swali ni: hawakuliona tatizo hilo kabla ya ndege kuanza kuruka mpaka ifike kwenye hatua ya kupaa na kulazimika kutua ghafla?
Asante Mungu kwa kumlinda Waziri Mkuu wetu. Naanza kuamini, ni kweli Waziri Mkuu anawindwa na wabaya wake wanaomhofia mwaka 2030. Mara tunasikia amenusurika sumu, mara tusikie atolewe kwenye nafasi. Heeeee!!!
IPO siku yake atajaa watapita naye..!!Amenusurika mara ya pili, mara ya tatu watahakikisha hachomoki. Kupiga magoti hakukusaidia sana.
Hivi mparee nikuulize kitu, Kiimani ukiona mambo kama haya ni kwamba zilailiii yupo rada ni anakuwinda muda wote!?Warm up warning..😂
Ndiyo maana tumeona Picha akiwa kwenye SGR ,noma sana rubani asingesingusi basi angekuwa "CHIVAYO".Ndege iliyokuwa imembeba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, imeshindwa kupaa na kulazimika kutua tena.