Ndege iliyombeba Waziri mkuu Mwigulu yashindwa kupaa; yalazimika kurejea airport

IPO siku yake atajaa watapita naye..!!
Hivi kwanini watu kama hawa, Nchemba, Nchimbi, Polepole, Mhagama wanajua wanawindwa kuuwawa kwanini wasijilipue.

Kwa nafasi zao hawashindwi kukusanya ushahidi usio na shaka, kukimbia nchi na kuwapa mahakama ya kimataifa, vyombo vya habari na wadau wa maendeleo huo ushahidi.

Wakibaki nyumbani watauliwa anyway, wakitoa ushahidi wanaweza kuwa salama na kulikomboa taifa kutoka kwa hawa wauaji.
 
Shida wanajua yatapita waendelee kutafuna pesa zao walizokwapua..!!

Hao nao ni walewale wana uchu wa madaraka..!!
 
Huko hakuna wandushi wa habari waliorekodi tukio
 
Kama ni kweli ipo siku tutaona utupu wa mkulu, nchi inajidhalilisha kwa ajili ya madaraka
 
Labda vile haina mbawa za kuisaidia kuelea
 
Ninasikia rubani akisema wakati ndege ilipotaka kuruka, alipokea ishara ya tatizo kwenye injini moja. Swali ni: hawakuliona tatizo hilo kabla ya ndege kuanza kuruka mpaka ifike kwenye hatua ya kupaa na kulazimika kutua ghafla?
Labda wafitini wake wanamtafutia kona kama walivyomfanyia Filikunjombe
 
 
Profile ya kimkakati hii mkuu, imekuja kutuandaa kwa yanayokuja. Akaunti ya tangu 2022 na ina post 5 tu ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…