Ndege iliyonunuliwa na Serikali aina ya Boeing 787-8 Dreamliner imeondoka nchini Marekani, kutua nchini Oktoba 26 saa nane mchana

Tatizo ni mkulima wa grape
 
Inashangaza kuona viongozi kuendelea kung'ang'ania biashara yenye hasara mpaka sasa hatujui faida inaingiza kiasi gani ni kama mtu aliyenunua gari ya kutembelea anatoa pesa mfukoni kujaza mafuta ndo mana watu hawataki hata kujiandikisha
 
Wewe mwenyewe ni kinara wa upumbavu
Mkuu;
Wala usipoteze muda kujenga hoja kwa watu kama hawa!

Kumbuka ukijibishana na mpumbavu kwenye upumbavu wake na wewe utaonekana mpumbavu!

Ni ushauri tu! Samahani kama nitakukwaza!
 

Sasa kama Mungu hapendwi na kila mtu sembuse sisi wenyewe kwa wenyewe mkuu: Katika vitu vinavochangia pia sisi kutoendelea hiki kimoja wapo: Badala ya mtu kuona ujio kama opportunity mtu anaiangalia upande wa kuponda, unategemea tutaendelea kweli mkuu? sisi binadam ndo tulivo kuponda kila kitu mkuu, so ni kawaida ya watu
 
Darubini a. k.a.local televisheni zimeangaliwa sawasawa, isije kuwa Mashangazi wakaleta moshi wa kisulisuli tena hapo kesho tukatafuta pakupitia.
Haya
Naona Mmeanza Kuleta Moshi Hapa
Hii Ni Kazi Ya Ruangwa!!!πŸ˜πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜†
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Kuna taarifa kuwa yule mkulima keshatia timu pale kipawa
 
Namkumbuka Kamwelwe kwenye issue ya kuzama kwa kivuko kule ukerewe alisema wanao mtaka awajibike kwa uzembe akasema atawapeleka mahakamani.
Tamshi la Kamwele linaweza kuwa mantiki, ila kwakuwa halijamsema mkulu wanaweza wakalipuuza
 
Wakalala nayo mbereeee
 

[emoji23][emoji23][emoji23] aisee
 
Inashangaza kuona viongozi kuendelea kung'ang'ania biashara yenye hasara mpaka sasa hatujui faida inaingiza kiasi gani ni kama mtu aliyenunua gari ya kutembelea anatoa pesa mfukoni kujaza mafuta ndo mana watu hawataki hata kujiandikisha

Ukiondoa Atcl ukanda huu wa Afrika mashariki, hakuna shirika lingine lenye bei nafuu kuliko sisi, Mfano: kwa upande wa Afrika mashariki kenya airways ndo shirika lenye ushindan mkubwa kuliko mashirika yote kwa pamoja: Hata kwa shirika la uganda liloanza juzi bado bei zake zmekua zikilalamikiwa sana na kusababisha watu kususia ndege zao: Leo ukitaka kwenda mumbai with ATCL, prices range kuanzia 700K apo, ukipanda kenya airways andaa 1M kwenda mbele bila kusahau kuibiwa mizigo: sasa huoni umesave pesa unaweza kutumia kwenye huduma zingine: Shirika letu liko backed up na serikali 100% not unless mashirika mengine mfano kenya ways serikali yao inamiliki asilimia chache sana zingine zote zimechukuliwa na investors ambao ni non kenyans:

Its a non relevant question to ask kwa sababu serikali kazi yake ni kusaidia maisha ya watu yawe nafuu, ni sawa sawa uulize mbna serikali inawekeza billlions kwenye elimu wanafunzi wanasoma bure, return iko wap?: mtoto mmoja kule kijijini akipata elimu na ikamsaidia si atainua na wengine: tourists wakipanda in that cheap price means more tourists in our nation which means more money:

As of typing this: Tanzania ni nchi ya #4 Afrika nzima kwa mapato ya watalii($2.45B +)[Hii imerudisha ela yote ya ununuzi na chenchi juu na kumbuka hii ni kila mwaka] in revenues kila mwaka: Sasa izo ni ndege 4,(Kenya airways ina zaidi ya ndege 40): Gained advantage ni pamoja na infrastructure nzuri ikiwemo Barabara nzuri kushinda sisi but we still made it: vuta picha zote zikimalizika: Ndio maana mara nyingi mnaambiwa Magufuli is one of the smartest president in Africa, Itsnot always about direct profit, you just need to make smart decisions to take over that crown:


Tanzania ni nchi inaongoza kua na akiba kubwa ya fedha za kigeni ukanda wote wa Afrika mashariki, Ingawa bado hatujaziba gap la pesa zinazoingia na zinazotoka ila linalizidi kupungua, Tanzania imekua wauzaji wakubwa nje ya nchi katika bidhaa na huduma nyingi ikiwemo umeme, internet, mziki, mazao: bidii zaidi inahitaji kutoka kwa wananchi kufunga ilo pengo:
 
Maendeleo Hayana Chama
Ndugu Zangu Mniamini Niwafanyizie Kazi
Unaweza Kuiona Mkali Sana Hapa
Lakini Nyumbani, Napigishwa Deki!!!!
πŸ˜πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…
Canon Salute Baadaye, Minyama Sasa Itakuwa Mimaji Tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…