Ndege kubwa ya abiria ya C919 yaanza rasmi kutumika nchini China

Unajua ilivyopatikana hiyo aircraft carry au umenogewa tu na mapicha ya jack chan na jet li.......hao bado sana kwenye kubuni vitu........mwendo wa copy
 
What about you, africans ?
Shit hole bado tunasingizia mengi ooh tukitengeneza madawa wazungu wanatuwekea biti
Ooh tukijenga bwawa wazungu wanakataa
Ooh tukikataa ushoga watakata misaada
Yaani visingizio vyetu ni mzungu tu
Binadamu wanajaribu na kufanya kila kitu mahali alipo

Leo mchina ana madaraja marefu duniani na ametengeneza Visiwa kwa kujaza mchanga baharini

Kwa sasa ana visiwa vikubwa vya kijeshi vitatu na hakuna wa kumuambia kitu

Sasa sisi ukisema tunapitisha reli Serengeti watz watasema unataka tugombane na wazungu eti

Hivi wazungu waume zetu?
 
Waafrika wamejaa funza vichwani ndio maana muda mwingi wanawaza kugongana tu.
 
Waafrika wamejaa funza vichwani ndio maana muda mwingi wanawaza kugongana tu.
Sana mkuu
Kuna mmarekani alitengeneza dawa za binadamu na akauza bei ya kichaa
Same medicine zikatengenezwa na vijana watatu wa 6th form UK na wakauza kwa bei rahisi sana

Sasa mwafrika wawekee uzi wa ngono au kiongozi atukane jukwani ndio wanafurahia
 
Unajua ilivyopatikana hiyo aircraft carry au umenogewa tu na mapicha ya jack chan na jet li.......hao bado sana kwenye kubuni vitu........mwendo wa copy
Nchi yako unayotoka inaweza kucopy ndege ikapaa?
 
Tunasafari ndefu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…