gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Mazungumzo ya nuclear yalokua yafanyike jumamosi yamefutwa,kwa hiyo ugomvi ni dhahiri, nadhani tutaamka na habari za vitaHapo pagumu ingawa panawezekana lakini nimeona Trump akimwambia Netanyahu, kwanza maliza Gaza kisha Iran usubiri mpaka hiyo nucler deal ikigoma.
Leo nimeona Iran inasema imeshapata Nuclear fomular na hwataki tena mazungumzo na Trump.
Hakuna vita Trump muoga sanaa.Mazungumzo ya nuclear yalokua yafanyike jumamosi yamefutwa,kwa hiyo ugomvi ni dhahiri, nadhani tutaamka na habari za vita
Wanasahau Rais wa Iran alifanywajeKila Kauli Ina consequences, nashangaa pro hamas hapo juu wanawapamba Iran, kupamba huko ndio inawacost sana watu wa Gaza na familia zao ,,kila ukiwasha tv ni maiti tu , mji unanukia maiti, wao sababu ya kiburi wanawakumbatia magaidi, wanapigwa mabomu wanakufa wao na magaidi, kushadadia huku ndio itawacost pia hao mnaowaita wababe Iran na huyo kiongoz wao, wewe kusema utaifuta israel kwenye uso wa Dunia ni kosa kubwa sana naona kabisa Kuna watu wanaenda kupasuliwa vipande vipande na mwisho wa huyo ayatollah sjui naona unakaribia..
Muhimu ni kupima madhara kila upandeKiongozi wa Hamas Sinwar aliyelipuliwa kichwa kikapasuka alikuwa amejificha kwa raia?
Mnachofeli ni kwamba, Hamas hawajifichi miongoni mwa raia lakini Hamas wanajificha kwenye magofu na mahandaki, huko chini kwenye mahandaki wana chakula, wana viwanda vya silaha, wana camera wanaona kinachoendelea huko juu..
IDF wanapoingia wanapigwa ambush na kushambuliwa, hamas wanapigana kwa guerilla tactics..
Nitakubali Hamas hapo Gaza wana kitengo chao cha intelligence ambapo baadhi ya hao agent nitakubali wapo miongoni mwa raia na wanapeleka taarifa zote kuhusu IDF hapo Gaza... kama ilivyo IDF ilivyo na agents ndani ya Hamas, Hezbollah n.k
Tazama hio video hapo chini uone IDF walivyo bananishwa kwenye ambush na Hamas Gaza wakawa wanalia kama watoto ... Vita si rahisi kama mnavyozungumza kama walevi wa pombe za kienyeji... hapo unaona Hamas wamejificha kwa raia?
View: https://www.youtube.com/watch?v=n2ktmJgcZ78&t=67s
Dini kitu kibaya sanaMark my words wakithubutu jua kuwa US ndio kafungasha virago pale middle east Hata kaa Hata kambi moja
Unaongelea kijambio?muyemen aliwai lini kuwa mwarabu zaidi ya kijakazi wa waarabu.Waarabu hawajafika million miatano Bado, na hapo watoe wote muarabu ni mmoja tu muyemen. Kushindwa inamaana Gani? Do you have peace? Malizana na hamasi kwanza umeasahau Kama muna ceasefire na hizbollah? Unaelewa maana ya ceasefire?
Yemen ndio waarabu orijino...Unaongelea kijambio?muyemen aliwai lini kuwa mwarabu zaidi ya kijakazi wa waarabu.
Muyemen Arabuni ni km ngamia tu, wanamchinja huku aimba aalahu akubaru
Kutoka shinyanga labda, na hata mwarabu wa Nzega yuko njema kuliko hao wayemenYemen ndio waarabu orijino...
Israel anajua kila kitu kuhusu Iran. Ana watu mpaka IRGC.Hapo bongo saivi ni saa tano usiku naomba ukalale, halafu kesho ukiamka anza kusoma Hatua Kwa Hatua kuhusu mtandao wa missiles wa Iran pengine tutakua na mijadala Bora Sana rafiki,.
Wewe kaa ule dagaa unafikiri wanaume wanaogopa maneno ya kwenye kanga kama yale ya hezbollahMark my words wakithubutu jua kuwa US ndio kafungasha virago pale middle east Hata kaa Hata kambi moja
Endelea kuotaWakuu sio siri tena, mda wowote kutoka hivi sasa Israel atachakaza nuclear sites pale Iran.
Yetu macho
Jidanganyeni.Kwa sababu gani mkuu?
Makundi yote ya Iran washayapunguza nguvu hayana meno tena.
Ni timing sahihi kwao
Kijana kama hujui uliza usijitie aibu.Nyie mlikuwa mnawasifia hizbollah namna hii mkawaponza. Israel huwa inafanya mahesabu yake vizuri sana ndio maana waarabu zaidi ya milioni 500 wameshindwa na watu milioni 8 miaka nenda rudi.
Kipindi USA inamfadhili Israel avamie Syria miaka ya 1950s Iran alikua rafiki wa USA na Israel.Iran ni lazima ifutwe ili mashariki ya kati patulie
Hayo madai yako madaktari wa kizungu walioko Gaza waliyakataa na kuyapinga.Mnacho sahau hao Hamas wanajificha kwenye mgongo wa raia Israel alipiga Dunia nzima mnaandama genocide
Iran na USA ni watu wa mashaka sana ,hata ugomvi wao sio wa kuweka maanani ..Ni watu wanashirikiana kwa siri sana ...Hawa jamaa watapigana kutokana na Israel tu ,ila wao binafsi wana histori ndefu ya kushirikiana pamoja.Kipindi USA inamfadhili Israel avamie Syria miaka ya 1950s Iran alikua rafiki wa USA na Israel.
Kipindi USA na Israel wanaunda njama za Damascus crisis Iran alikua upande tulivu.
Msijiropokee tu hapa.
Mashariki ya kati ilikua ni ya amani kabla hajaja USA na Israel.
Kama hao watu wawili Wakafutiliwa mbali huwenda waarabu na waajemi wakarudi kuishi kwa amani tena.
Ilikua zamani kaka sio sasa hivi.Iran na USA ni watu wa mashaka sana ,hata ugomvi wao sio wa kuweka maanani ..Ni watu wanashirikiana kwa siri sana ...Hawa jamaa watapigana kutokana na Israel tu ,ila wao binafsi wana histori ndefu ya kushirikiana pamoja.
Vita sio nzuri jamani 😱Wakuu sio siri tena, mda wowote kutoka hivi sasa Israel atachakaza nuclear sites pale Iran.
Yetu macho
HahaKijana kama hujui uliza usijitie aibu.
USA na France walienda Lebanon baada ya kuona Hizbollah wameanza kutumia Longe range guided missiles ndani ya Israel.
US na France waliishinikiza serikali kuu ya Lebanon iwalazimishe Hizbollah waweke silaha chini na wasitishe mapigano na kuwekwe makubaliano ya ceasefire.
Kama USA asingefanya hivyo Israel kulikua hakukaliki.
Northern Israel yote kuanzia Galilaya kulikua kunawaka moto na raia zaidi ya laki Moja walikimbia.
Hadi sasa wengi wao hawajarudi wakihofia Hizbollah.