Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Najua, najua nini nimeandika you concentrate on small details, hivi vinatatokea naandika haraka sometimes slippery happens for every one, Mimi kuandika muna badala ya mna haimanishi sijui lugha, nimesoma Tanzania kuanzia ninamiaka 5-19 lugha yangu kuu ni kiswahili, pengine kiswahili chako ni so special? Mimi kiarabu pia Bado najifunza lakin I can write,hear and read by 60% wewe hunijui hivyo unauhuru wa kuandika unavyojiskia hizo ni personal kutoka kwako hapa tunajadili hoja pambana na hoja
Wewe ni raisi? Nyie mnaojifanya mmesoma kuliko wengine ndio vilaza wakuu hovyo kabisaKama ni small details andika
Kumah badala ya Jumah mtumie rais au andika mahari badala la mahali.
Nyie mara nyingi hampendi kabisa shule.
Wewe ni raisi? Nyie mnaojifanya mmesoma kuliko wengine ndio vilaza wakuu hovyo kabisa
Mwanaume halisi ukikosa ndevu ukikosa ndevu ni sawa na mtu nzima anayetembea uchi, usione fahari kukosa ndevu jisikitikie kwasababu Ukikosa ndevu rehema za Mungu hupungua kwako, fuatilia MANABII na mitume wa Mungu kwanini walifuga ndevu.[QUOTE="Echolima1, post: 54080442, member: 573542"topics Wafuga Midevu na Majini hamkosi visingizio!!!
Acha ujinga na Upumbavu wako wapi hapo nimetaja waislamu? Unaonekana umeumia sana na safari hii lazima utaumia zaidi maana Iran ni lazima tu atandikwe!!!!Wewe mtu una identity crisis na inakutesa kwelikweli hapo unajona wewe ni mu-isreali hata uposti hizi posti zako za kipuuzi mara elfu hutakaa ubadilike rangi, wewe ni mtu mweusi furahia rangi yako. Unahitaji msaada ki psychology. Yani ukikaa unaona waislamu wote ni waraabu kwamba Isreal ikivamia Iran imevamia waislamu wote tanzania.
Mwanaume halisi ukikosa ndevu ukikosa ndevu ni sawa na mtu nzima anayetembea uchi, usione fahari kukosa ndevu jisikitikie kwasababu Ukikosa ndevu rehema za Mungu hupungua kwako, fuatilia MANABII na mitume wa Mungu kwanini walifuga ndevu.[QUOTE="Echolima1, post: 54080442, member: 573542"topics Wafuga Midevu na Majini hamkosi visingizio!!!
Safari hii nitahakikisha mpaka umejinyea!!! Kila siku nitakuwa naposti kipondo cha magaidi!!! Nakushangaa sana wewe Mwarabu-koko unaumia nini Iran na magaidi kupigwa? Acha ujinga!!Wewe mtu una identity crisis na inakutesa kwelikweli hapo unajona wewe ni mu-isreali hata uposti hizi posti zako za kipuuzi mara elfu hutakaa ubadilike rangi, wewe ni mtu mweusi furahia rangi yako. Unahitaji msaada ki psychology. Yani ukikaa unaona waislamu wote ni waraabu kwamba Isreal ikivamia Iran imevamia waislamu wote tanzania.
Hahaa huwez amni m sinaga diniWafuga Midevu na Majini hamkosi visingizio!!!
[/QUOTE]Sio maneno yangu usije sema ni mkwara wangu Soma maneno ya mpersia mwenyewe
🇮🇷⚡🇮🇱🇺🇸 Iran's Defense Minister: If case of a war, the other side will definitely suffer more casualties than us and the US will be forced to leave the region.
We will target all American bases in the region without consideration.
Just last week, we tested a missile with a 2-ton warhead.
sema Umejitahidi kujipambanua ni jinsi gani ulivyo na kiwango cha juu cha ujingaWe mavitenge nn unaelewa Zaid ya upoyoyo,Unafikiri Israel anavyopiga vikundi ndo ataeza pambana na Taifa lilokamilika.Ficha ujinga wako banaaaa,Huyo Israel alishindwa kuanza hyo vita wakati kafurumishiwa makombora mwaka Jana,aje aanze Leo
Sikia,hata basha yenu America hawezi pigana na nchi iliyo full Zaid ya chokochoko tu
Mimi sio muarabu na wa Iran sio waarabu ni Persians. Yani umekakaa tu hujielewi. Mimi ni mtu civilized na amini kwenye ubinadamu ndio sitakaa nishabikie umwagaji wa damu sio wa binadamu yeyote. Lakini wewe umekosa kazi ya kufanya kazi za kijinga, umebaki kushabikia upuuzi, unavyoosema wavakobazi unamaanisha nini? UnaJilazimishia uisraeli hawakutakii mbona unajipendezaa. Acha kujipendekeza sio tabia nzuri kwa mwanume mtu mzimaa kama wewe, penda rangi yako ndio mungu alivyokuumba. Huo ujinga unaufanya mtandaoni ungetumia kupata kipato ungekuwa na pesa nyingi sasa hivi, lakini kwasababu we ni mpuuzi hutakaa ulione hilo. Hata jaribu kutangaza tanzania na mazuri yake, angalua uwe na faida kwenye jamiiSafari hii nitahakikisha mpaka umejinyea!!! Kila siku nitakuwa naposti kipondo cha magaidi!!! Nakushangaa sana wewe Mwarabu-koko unaumia nini Iran na magaidi kupigwa? Acha ujinga!!
Mimi sio muarabu na wa Iran sio waarabu ni Persians. Yani umekakaa tu hujielewi. Mimi ni mtu civilized na amini kwenye ubinadamu ndio sitakaa nishabikie umwagaji wa damu sio wa binadamu yeyote. Lakini wewe umekosa kazi ya kufanya kazi za kijinga, umebaki kushabikia upuuzi, unavyoosema wavakobazi unamaanisha nini? UnaJilazimishia uisraeli hawakutakii mbona unajipendezaa. Acha kujipendekeza sio tabia nzuri kwa mwanume mtu mzimaa kama wewe, penda rangi yako ndio mungu alivyokuumba. Huo ujinga unaufanya mtandaoni ungetumia kupata kipato ungekuwa na pesa nyingi sasa hivi, lakini kwasababu we ni mpuuzi hutakaa ulione hilo. Hata jaribu kutangaza tanzania na mazuri yake, angalua uwe na faida kwenye jamii
Wewe ni Mwarabu-koko na hakuna Aliyekuambia Iran ni waarabu tuliza akili zako vizuri!!!Mimi sio muarabu na wa Iran sio waarabu ni Persians.
Wewe hunijui na mimi sikujui sasa mihemko hiyo yote ni kwa nini? Kwa sababu naleta habari za kupigwa swahiba zako? Na kama wewe unaona sijielewi si upite kushoto kuliko kubwabwaja ovyo ovyo kama mjinga!!!Yani umekakaa tu hujielewi.
Nikiambiwa ni Lete watu waliostaarabika wewe huwezi kuweto hata kidogo!! Nani umemuona anashabikia umwagaji wa damu? Kwa akili yako maandazi Oct 07,2023 magaidi walipovamia Israel Walienda huko Kugawa Halua na Tende? Hao watu 1,200 kwako wewe hayakuwa mauaji? Acha ujinga wako wayahudi waliouwawa nao ni watu kama wao.kama wao waliua kuna dhambi gani waarabu nao wakifa?Mimi ni mtu civilized na amini kwenye ubinadamu ndio sitakaa nishabikie umwagaji wa damu sio wa binadamu yeyote. Lakini wewe umekosa kazi ya kufanya kazi za kijinga, umebaki kushabikia upuuzi,
Unajiteteaaa hapo umeonaa umeandikaa vitu vya maana, achaa kujipendekeza utafanywa mbaya. Eti nimeandaa Isreal so what! Tafuta ajira lasivyo utabika kuwa maskini kama ulivyo. Jikwamue kimaisha acha ujinga. Sina muda wa kuandika sana kwasababu na vitu vya maana vya kufanya, haya nijibu tena nasubiria this time andika kitabu tic toc tic toc!!Wewe ni Mwarabu-koko na hakuna Aliyekuambia Iran ni waarabu tuliza akili zako vizuri!!!
Wewe hunijui na mimi sikujui sasa mihemko hiyo yote ni kwa nini? Kwa sababu naleta habari za kupigwa swahiba zako? Na kama wewe unaona sijielewi si upite kushoto kuliko kubwabwaja ovyo ovyo kama mjinga!!!
Nikiambiwa ni Lete watu waliostaarabika wewe huwezi kuweto hata kidogo!! Nani umemuona anashabikia umwagaji wa damu? Kwa akili yako maandazi Oct 07,2023 magaidi walipovamia Israel Walienda huko Kugawa Halua na Tende? Hao watu 1,200 kwako wewe hayakuwa mauaji? Acha ujinga wako wayahudi waliouwawa nao ni watu kama wao.kama wao waliua kuna dhambi gani waarabu nao wakifa?
Kuambiwa mvaa kobaz imekuuma lakini wewe kuita watu walokole,Mara wanajipendeza kwa Wayahudi wewe unafurahia sana!! Acha ujinga na upumbavu huo!!
Aliyekuambia wayahudi hawatutaki nani? Mimi nimekaa huko toka April 08,2025 mpaka June 08,2025 Nimerudi Jumapili tu iliyopita sijaona UHARO unaousema!! Mimi ni mwafrika mweusi usifikiri nimejikoboa kama wewe Mwarabu koko mpuuzi wewe!!!
Eti nitafute ajira kwa taarifa yako mimi si wa kutafuta ajira. Najua huna bundle maana ulinunua la 500 nalo linakwisha. Watu kama wewe ndiyo mmekuwa mkiliharibu jukwaa hili kwa kuweka habari za uongo na upotoshaji!!!Unajiteteaaa hapo umeonaa umeandikaa vitu vya maana, achaa kujipendekeza utafanywa mbaya. Eti nimeandaa Isreal so what! Tafuta ajira lasivyo utabika kuwa maskini kama ulivyo. Jikwamue kimaisha acha ujinga. Sina muda wa kuandika sana kwasababu na vitu vya maana vya kufanya, haya nijibu tena nasubiria this time andika kitabu tic toc tic toc!!
Huna unachojua lazima uone upuuzi.Upuuzi mtupu umeandika hapa kalale sasa
Alichoongea mwenzako ndio ukweli.sema Umejitahidi kujipambanua ni jinsi gani ulivyo na kiwango cha juu cha ujinga
😂😂😂Mnamuandama sana jamaa bro.Mimi sio muarabu na wa Iran sio waarabu ni Persians. Yani umekakaa tu hujielewi. Mimi ni mtu civilized na amini kwenye ubinadamu ndio sitakaa nishabikie umwagaji wa damu sio wa binadamu yeyote. Lakini wewe umekosa kazi ya kufanya kazi za kijinga, umebaki kushabikia upuuzi, unavyoosema wavakobazi unamaanisha nini? UnaJilazimishia uisraeli hawakutakii mbona unajipendezaa. Acha kujipendekeza sio tabia nzuri kwa mwanume mtu mzimaa kama wewe, penda rangi yako ndio mungu alivyokuumba. Huo ujinga unaufanya mtandaoni ungetumia kupata kipato ungekuwa na pesa nyingi sasa hivi, lakini kwasababu we ni mpuuzi hutakaa ulione hilo. Hata jaribu kutangaza tanzania na mazuri yake, angalua uwe na faida kwenye jamii
Waliolewa ndio hawanaga kazi kama wewe kushinda kwenye mitandaoni siku nzima kuandika uupuzi, angalia nani anandika vitu vya kipuuzi mtandaoni, unajisahau mpaka unajisema mwenyewe, haya nijibu this time Andika kitabu na bando lako unlimited. Yani the fact unashinda mitandaoni inkuelezea wewe ni mtu wa Aina ganiEti nitafute ajira kwa taarifa yako mimi si wa kutafuta ajira. Najua huna bundle maana ulinunua la 500 nalo linakwisha. Watu kama wewe ndiyo mmekuwa mkiliharibu jukwaa hili kwa kuweka habari za uongo na upotoshaji!!!
Eti huna muda una vitu vya kufanya kwani wewe umeolewa? Acha ujinga wako wewe!!!
Acheni kudanganya watu kama yalipenya yaliua watu wangapi? Iran alishambulia kwa makombola zaidi ya 400 yote yalipopolewa na mengi yaliangukia jangwani na sehemu za wazi!! Hakuna shambulio la Iran lililofanikiwa yote yalikuwa ya kipuuzi tu. Huwezi kurusha makombola 400 yote uka Wash-Out huo ni Upumbavu.Alichoongea mwenzako ndio ukweli.
Iran ilishambulia Israel kwa makombora mara mbili na yakapenya.
Hiyo ilikua sababu tosha ya Israel kuanzisha vita na Iran.
Israel imekua ikiishambulia bila kusita Yemen,Lebanon na Syria.
Kwanini haifanyi hivyo kwa Iran??
Shida hili jukwaa limevamiwa na mambumbumbu kama wewe mnatia doa humu.