Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
Kifo ni kifo tuKwa kishindo hicho kutegemea angetoka mtu hai ni uwongo.
Hapo ndipo maskini tunapojifariji kumbe kupanda kwetu buses ni afadhali maana yenyewe yakipiga buyu angalao mbabaki wawili watatu mnapumua ndege habaki mtu chap mnaingia ng’ambo ya pili kwa aliyewaumba tena mkiwa idadi sawa na mlivyopanda.
Si kwamba kila Boeing ikiruka tu ni ajali mkuu.Turkish Airline ndege zao nyingi ni Airbus.
Boeing walo nazo ni za kuhesabu.
Hivyo ondoa shaka, relax.
Aah hiyo mbona inajulikana mzee!?Kifo ni kifo tu
Passenger!? Left to tell...!!!Except one survived!
Kwanini 11A?Sio kwamba mwamba aliyekuwa kakaa seat 11A kapona?
إنا لله وإنا إليه راجعون kiukweli ajali ya ndege kutoboa huwa ngumu sana, unakufa kwa presha kabla ya ajali yenyewe, kuna siku kushuka pale JNIA hali ya hewa ilikuwa mbaya sana, rubani alipambana sana mpaka kutua moyo unataka kutokea sikioni.Habari kuhusu abiria si nzuri, abiria wote wamefariki.
RIP
To tell the tale! Itamchukua several years mauzauza ya hiyo ajali kumtoka!Passenger!? Left to tell...!!!
Abria Vishwash Kumar Ramesh (40) raia wa Uingereza, aliyekuwa ameketi kwenye siti namba 11A, amenusurika katika ajali ya ndege ya Air India iliyokuwa ikielekea London na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 200.Sio kwamba mwamba aliyekuwa kakaa seat 11A kapona?
Kupaa kabla haijakaa level inatisha kwa kweli. Angalau zile alert za kufungua mikanda zikilia kidogo unapumua.Hakuna kitu naogopa kama ndege ikiwa inapaa na kushuka huwa natubu kabisa na kutoa shahada sijawahi uzoea huo usafiri.Wapumzike kwa Amani.
Nyakati mbili za hatari sana kwenye ndege ni wakati wa kupaa na wakati wa kutuaKupaa kabla haijakaa level inatisha kwa kweli. Angalau zile alert za kufungua mikanda zikilia kidogo unapumua.
Incident nyingine ya kuogofya kuna wakati ghafla mnakuwa kama mnadondoka (weightless) halafu inakaa sawa! Dah!
Hapana kwa kweli huu usafiri ni wa ajabu kweli kwanza masikio yanavuta mara ujihisi miguu juu kichwa kipo chini kwa kweli haiwezi kudondoka mkapona.Kupaa kabla haijakaa level inatisha kwa kweli. Angalau zile alert za kufungua mikanda zikilia kidogo unapumua.
Incident nyingine ya kuogofya kuna wakati ghafla mnakuwa kama mnadondoka (weightless) halafu inakaa sawa! Dah!
Na ya tatu ni turbulence! Usiombe mkutane na pepo za monsoon; usiku; radi za hatari zinalipuka! Utaomba isimame ushuke.Nyakati mbili za hatari sana kwenye ndege ni wakati wa kupaa na wakati wa kutua