Ndege ya abiria iliyokuwa na watu 242 yaanguka huko Ahmedabad, India muda mfupi baada ya kupaa. 241 wathibitika kufariki dunia

Hapana kwa kweli huu usafiri ni wa ajabu kweli kwanza masikio yanavuta mara ujihisi miguu juu kichwa kipo chini kwa kweli haiwezi kudondoka mkapona.
Wale wanaotapika wakipanda Shabiby sijui wanakuwa na hali gani wakipanda ndege tena long distance! Unakuta mtu kwenye NGASERE eti anaomba kifuko cha kutapikia!
 
Kiujumla usafiri wa ndege ni salama kuliko usafiri wa basi/gari.

Ndiyo inawezekana ajali ya ndege ikitikea uwezekano wa watu wote kufa ni mkubwa sana, lakini uwezekano wa ajali ya ndege kutokea ni mdogo sana ukilinganisha na uwezekano wa ajali ya gari.
 
Usafiri wa Ndege ni wakisen**e sana, alafu sijui kwa nini unakuwa wa ghalama wakati usafiri wenyewe ni risk!!!
 
Dah; hivi kipi bora; ajali hutokea kwa nadra ila ikitokea probability ya kufa ni 100% au ajali hutokea mara kwa mara na ikitokea uwezekano wa kufa ni 5%. I think the latter is better!
 
Acha uongooo na yule raia wa Uingereza aliyepona jee humuonii,think and search before you write your content
 
Yes, sababu ni kuwa angani hakuna traffic/mipishano mingi na vyombo vyengine kama ilivyo kwenye usafiri wa barabara
 
Usafiri wa Ndege ni wakisen**e sana, alafu sijui kwa nini unakuwa wa ghalama wakati usafiri wenyewe ni risk!!!
Kaka utenda Ungerezani kwa basi? Ok, kwa meli basi; uko tayari kukaa baharini for weeks? There is no option ndio maana.
 
Ndivyo usafiri wa juu ulivyo, ukisikia imedondoka jua watapukutika kama kuku vile.
Huo mdege fuel capacity yake ni lita 126,356 sawa na semi trailers 3 za lita elfu 42 kila moja.

Ndege imedondoka sekunde 30 baada ya kupaa means was full tank! Kiasi hiko cha mafuta mlipuko wake ni balaa hakiponi kitu!
 
Na ya tatu ni turbulence! Usiombe mkutane na pepo za monsoon; usiku; radi za hatari zinalipuka! Utaomba isimame ushuke.
Ilishawahi kututokea na Cathay Pacific wakati tunatoka Singapore kwenda South.. Kipande cha Madascar... Ilichukua dakika 15 hivi.. Waliokuwa wamelala waliamshwa.. Kwenye screen ile flight path ilikuwa inaonesha jinsi dege lilivyokuwa linayumba.. Sitakaa nisahau ule usiku.. Kumbe mdomo unaweza kukauka mate mpaka hata karatasi isilowe
 
Mbona km Kuna jamaa kapona?? Nimeona huko duniani
 
Dah; hivi kipi bora; ajali hutokea kwa nadra ila ikitokea probability ya kufa ni 100% au ajali hutokea mara kwa mara na ikitokea uwezekano wa kufa ni 5%. I think the latter is better!
Kwanza kabisa hiyo 5% probability ya kufa kwenye ajali ya gari si realistic, kouhalisia ni kubwa zaidi.

Ila pia, kama ajali ya ndege kutokea mara chache sana hapo usha addrwss risk kwa sehemu kubwa sana.
 
Kuna muingereza mmoja kapona na anaendelea vema. Katoa hata shuhuda ya ajari.
 
Monsoon za ukweli ziko hapo kutoka India kwenda China. Msimu huo ni hatari sana - June - August!
 
Kwanza kabisa hiyo 5% probability ya kufa kwenye ajali ya gari si realistic, kouhalisia ni kubwa zaidi.

Ila pia, kama ajali ya ndege kutokea mara chache sana hapo usha addrwss risk kwa sehemu kubwa sana.
Tuachane na shitholes; tujikite developed ambako both options (gari na ndege) are available and affordable. 5% probability ni realistic.
 
Sio kweli wapo waliopona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…