Ndege ya abiria iliyokuwa na watu 242 yaanguka huko Ahmedabad, India muda mfupi baada ya kupaa. 241 wathibitika kufariki dunia

Kuna mtu mmoja aliyethibitishwa kunusurika katika ajali ya ndege ya Air India huko Ahmedabad.

Vishwash Kumar Ramesh, raia wa Uingereza mwenye umri wa miaka 40, alikuwa ameketi katika kiti namba 11A na alinusurika kimiujiza kwenye ajali hiyo.

Alipata majeraha kwenye kifua, macho na miguu. Vishwash alisimulia tukio hilo la kuogofya, akisema, "Sekunde thelathini baada ya kupaa, kulikuwa na kelele kubwa kisha ndege ikaanguka.

Yote yalitokea haraka sana." Kwa sasa anaendelea na matibabu katika hospitali. Hapo awali mamlaka ilifikiri hakukuwa na walionusurika, lakini kunusurika kwa Ramesh kumetoa matumaini katikati ya janga hilo baya.
 
Tuachane na shitholes; tujikite developed ambako both options (gari na ndege) are available and affordable. 5% probability ni realistic.
Lakini kwenye ajali kinachohofiwa si kifo tu, hata kilema ni tatizo. Kuna watu wengine wanaona bora wafe kuliko kupata kilema.

Last weekend I had to travel some 300 miles. I had the option to drive or fly.

I chose to fly. It is safer.

The travel time alone reduces the risk significantly when flying 50 minutes vesus 6 hours.
 
Ile Ya Majaliwa Report Bado Mpaka Kesho Kama Saa Hizi
 
Cha ajabu kuna mmoja hakufa
 
Ajali ikiwa inatokea haichukui 50 minutes wala 6 hours just in a blink of an eye tayari unajikuta upo kwenye dead end you got nothing to do. Nachomaanisha ajali haijchagui muda wala sehemu ya kuja. Wakati wowote mahali popote.. unachotakiwa ni kuomba tu Mungu akufikishe salama kwenye safari yako hata kama it takes a months.
 
Wanafunzi wangapi wamekufa?
 
Hiii ajali ni mbaya sanaa. Watu 242 wanakufa ndani ya dakika moja. Poleni wafiwa najua jamiiforum watu walivyo na mbwembwe hawakosekani ndugu wa wafiwa huku.
 
Ndiyo.

Lakini kama dakika yoyote ina nafasi sawa ya kuwa na ajali sawa na dakika yoyote nyingine, ukisafiri kwa saa moja badala ya masaa sita umepungua nafasi ya ajali kwa 100% - 16.67% = 83.33%.

Hapo kabla hujaweka fact kwamba usafiri wa ndege una risk ndogo zaidi ya ajali.

Risk ndogo, muda ndogo, no brainer.
 
Ukiwa kwenye shock ghafla unapata kiu kikali sana. Umenichekesha though 😅😅😅
 
Monsoon za ukweli ziko hapo kutoka India kwenda China. Msimu huo ni hatari sana - June - August!
Haya mambo yasikie kwa wengine aisee . yasikukute halafu unusurike
 
Kwa wote waliofariki kwenye ajali ndugu zao watapewa Fidia ya 300m kila mmoja kama kuna baba, mama na mtoto basi bingo

Ila katika wote kuna mmoja hakufa na alikuwemo kwenye ajali sasa tutegemee mke akimwambia si ungekufa tu
[emoji23]
 
Nasubiria hii documentary kwa hamu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…