Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,570
- 9,778
Umeandika ujingaUsafiri wa Ndege ni wakisen**e sana, alafu sijui kwa nini unakuwa wa ghalama wakati usafiri wenyewe ni risk!!!
Ana bahati kweli yaan, hakika Mungu ni mwemaSio kwamba mwamba aliyekuwa kakaa seat 11A kapona?
Chombo kinachoendeshwa na binadamu for 6hrs kinahatari zaidi ya kinachoendeshwa for 50min kuna factor nyingi ikiwepo uchovu.Ajali ikiwa inatokea haichukui 50 minutes wala 6 hours just in a blink of an eye tayari unajikuta upo kwenye dead end you got nothing to do. Nachomaanisha ajali haijchagui muda wala sehemu ya kuja. Wakati wowote mahali popote.. unachotakiwa ni kuomba tu Mungu akufikishe salama kwenye safari yako hata kama it takes a months.
Umeusoma Ujinga.Umeandika ujinga
Kuna mmoja kaponaKwa kishindo hicho kutegemea angetoka mtu hai ni uwongo.
Hapo ndipo maskini tunapojifariji kumbe kupanda kwetu mabasi ni afadhali maana yenyewe yakipiga buyu angalao mnabaki wawili watatu mnapumua ndege habaki mtu chap mnavuka ng’ambo ya pili kwa aliyewaumba tena mkiwa idadi sawa na mlivyopanda.
Ieleweke kuwa wanaosema tunaamani wanajidanganya,duniani sio sehemu ya amani,kila sekunde na dakika tunayoishi hapa duniani imejawa na hatari na mashaka,hakuna usafiri wala mahali ambapo ni salama kwenye hii dunia,hatari yoyote inaweza kutokea popote na muda wowote.Kupaa kabla haijakaa level inatisha kwa kweli. Angalau zile alert za kufungua mikanda zikilia kidogo unapumua.
Incident nyingine ya kuogofya kuna wakati ghafla mnakuwa kama mnadondoka (weightless) halafu inakaa sawa! Dah!
Utakataka wake ni upi?.Inapofika siku ya mtu kufa lazima afe haijalishi atakua kwenye kitu gani.
Abiria aliyekaa seat hiyo aliruka na kaponaKwanini 11A?
Linaweza kuwa tukio la kweli hasa pale MTU atapoona Jambo lisilo la kawaida katika mazingira fulani.Most likely hili sio tukio la ukweli
Mungu ni mwema, atawafikisha salama 🙏Tuombeane uzima ndg yangu. Mie ninasafari hapo keshokutwa na dreamliner ya Qatar View attachment 3366241
Usiogope.Tuombeane uzima ndg yangu. Mie ninasafari hapo keshokutwa na dreamliner ya Qatar View attachment 3366241