Harmonize wa Jf
Member
- Jan 6, 2022
- 56
- 336
Sidhani kama ni kweli hii. Kwa hali iliyopo kwasasa sio rahisi Ndege ya Iran ikaingi Lebanon halafu ikaacha bila kulipuliwaLeo ndege ya kivita ya Iran jet ya kivita imeonekana ikiwa imeingia katika nchi ya Lebanon kwaajili ya kuwapelekea silaha na kuisaidia Hezbollah dhidi ya Israel.
Rada za Israel zimeinasa ndege hiyo ya kivita ya Iran kitu kilicho pelekea kuzuka Kwa tension kubwa kwamba iran ameanza rasmi kuingiza mguu wake Huko Lebanon kupambana na israel,
Tafuta historia ya sababu za kuanzishwa Kwa HIZBULLAHInaelekea serikali ya Lebanoni nayo ni dhaifu sana; Hezbollah ni kikundi cha kigaidi, hakimilikiwi na serikali, in fact serikali haikitaki, serikali inajua kabisa kikundi hicho kina fadhiliwa na Iran but still wala serikali haineshi kama haipendi; nchi yao imegeuzwa kua uwanja wa vita ambayo kimsingi haina faida yoyote kwao; stupid
Picha ya hiyo ndege tafadhali!Leo ndege ya kivita ya Iran jet ya kivita imeonekana ikiwa imeingia katika nchi ya Lebanon kwaajili ya kuwapelekea silaha na kuisaidia Hezbollah dhidi ya Israel.
Rada za Israel zimeinasa ndege hiyo ya kivita ya Iran kitu kilicho pelekea kuzuka Kwa tension kubwa kwamba iran ameanza rasmi kuingiza mguu wake Huko Lebanon kupambana na israel,
Serikali ya lebanoni ni dhaifu ndio maana nchi imekamatwa na magaidi vibaraka wa Iran na kuigeuza kuwa uwanja wa vitaInaelekea serikali ya Lebanoni nayo ni dhaifu sana; Hezbollah ni kikundi cha kigaidi, hakimilikiwi na serikali, in fact serikali haikitaki, serikali inajua kabisa kikundi hicho kina fadhiliwa na Iran but still wala serikali haineshi kama haipendi; nchi yao imegeuzwa kua uwanja wa vita ambayo kimsingi haina faida yoyote kwao; stupid
Kama inaweza ipambane hizboSerikali ya lebanoni ni dhaifu ndio maana nchi imekamatwa na magaidi vibaraka wa Iran na kuigeuza kuwa uwanja wa vita
Israel imedhamiria kuleta ukombozi Lebanon kutoka kwenye mikono ya magaidi.Kama inaweza ipambane hizbo
Waziri wa mambo ya nje juzi kaingia ,waliingia ndege ya misaada pia,wao waisrael wafanye kama wanajikuna walipue hizo ndegeSidhani kama ni kweli hii. Kwa hali iliyopo kwasasa sio rahisi Ndege ya Iran ikaingi Lebanon halafu ikaacha bila kulipuliwa
Source: trust me broLeo ndege ya kivita ya Iran jet ya kivita imeonekana ikiwa imeingia katika nchi ya Lebanon kwaajili ya kuwapelekea silaha na kuisaidia Hezbollah dhidi ya Israel.
Rada za Israel zimeinasa ndege hiyo ya kivita ya Iran kitu kilicho pelekea kuzuka Kwa tension kubwa kwamba iran ameanza rasmi kuingiza mguu wake Huko Lebanon kupambana na israel,
Ni rahisi zaidi kwa Hezbollah kuiondoa serikali na kushika Lebanon kuliko Jeshi la Lebanon kuwaondoa HezbollahInaelekea serikali ya Lebanoni nayo ni dhaifu sana; Hezbollah ni kikundi cha kigaidi, hakimilikiwi na serikali, in fact serikali haikitaki, serikali inajua kabisa kikundi hicho kina fadhiliwa na Iran but still wala serikali haineshi kama haipendi; nchi yao imegeuzwa kua uwanja wa vita ambayo kimsingi haina faida yoyote kwao; stupid
Israel 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱. Tunasoma ilipambana na wafilisti, waashuru, wababeli, wamisri.nk. Leo hao wote waliopigana na Israel hatuwasikii tena bali wamekuja hawa Hezbollah, Hamas, nk. Baada ya miaka kadhaa watapotea naona kuendelea kubakia waisraeli, huku vikiibuka vikundi vingine. Hakuna wa kupigana na Israel akabaki salama kuendeleza uzao kwenye hii dunia.Leo ndege ya kivita ya Iran jet ya kivita imeonekana ikiwa imeingia katika nchi ya Lebanon kwaajili ya kuwapelekea silaha na kuisaidia Hezbollah dhidi ya Israel.
Rada za Israel zimeinasa ndege hiyo ya kivita ya Iran kitu kilicho pelekea kuzuka Kwa tension kubwa kwamba iran ameanza rasmi kuingiza mguu wake Huko Lebanon kupambana na israel,
Kama Rais alidunguliwa huyo Waziri wanashindwaje, hajaingia kwenye mfumoNdege za Iran mbona zinaingia lebanon na wamesema waone mbabe awadunguwe, juzi kashuka waziri wao wa mambo ya nje.