Ndege ya kivita ya Iran imeingia Lebanon kupambana na Israel

Ndege ya kivita ya Iran imeingia Lebanon kupambana na Israel

Ndege za Iran mbona zinaingia lebanon na wamesema waone mbabe awadunguwe, juzi kashuka waziri wao wa mambo ya nje.
Lebanon hao Hezbollah ni askari wa Iran
Lebanon wenyeji waislamu ni wachache na hawana uadui na Israel

Iran ndiye kajaza askari wake Lebanon
Hivyo ukisikua Israel inapigana na Hezbollah ujue inapigana na Iran na sio Lebanon
 
Siku hizi hili jukwaa limekuwa la hovyo......mtu tu akijiskia tu anakuja na habari hata bila ya reference ya kuwa kaitoa wapi......mambo haya yanapunguza heshima ya jukwaa.....
 
"Leo ndege ya kivita ya Iran jet ya kivita imeonekana ikiwa imeingia katika nchi ya Lebanon kwaajili ya kuwapelekea silaha na kuisaidia Hezbollah dhidi ya Israel."
Hizi post zinatufanya Watanzania tuonekane na IQ ndogo.
Ndege inaingia lebanon kupigana vita ya ardhin 😀😀😀😀😀😀i
 
Lebanon hao Hezbollah ni askari wa Iran
Lebanon wenyeji waislamu ni wachache na hawana uadui na Israel

Iran ndiye kajaza askari wake Lebanon
Hivyo ukisikua Israel inapigana na Hezbollah ujue inapigana na Iran na sio Lebanon
Na ukisikia wanapiga na mazayuni ujuwe ni wamarekani na nato yote.

Usisahau hilo.
 
Habar ni ya kweli ila ndege ilipewa onyo na IAF ikageuza ilipotokea.
 
Attachments

  • Screenshot_20241005-210613.jpg
    Screenshot_20241005-210613.jpg
    259.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20241005-210631.jpg
    Screenshot_20241005-210631.jpg
    385.9 KB · Views: 1
Kumbe tuna watu wengi hapa hawajui lolote kuhusu Lebanon Wala Hezbollah. Kwa taarifa Yako Hezbollah ndio Wana wabunge wengi wanaounda serikali ya waziri mkuu wa Lebanon. Hezbollah ni kama CCM kule Lebanon
Haiondoi ukweli kwamba serikali ya Lebanoni ni dhaifu; hawa Hezbollah kwa asili ni Wapalestina waliokimbilia Lebanoni kama wakimbizi, sawa tu na kinacho endelea Congo/Zaire; wale Watutsi almaarufu kama Banyamulenge walikimbilia kule na sasa wanatishia kuipndoa serikali iliopo madarakani, nonsense.
 
Huwezi kusema serikali ya Lebanon ni dhaifu kwani Kuna serikali ngapi zaidi ya serikali ya Hezbollah? Hezbollah wapo bungeni wapi Serikalini ndio serikali yenyewe.
 
"Leo ndege ya kivita ya Iran jet ya kivita imeonekana ikiwa imeingia katika nchi ya Lebanon kwaajili ya kuwapelekea silaha na kuisaidia Hezbollah dhidi ya Israel."
Hizi post zinatufanya Watanzania tuonekane na IQ ndogo.
Athari za Madrassa sio issue ya kitanzania... hawa jamaa thread zao zote ndio zipo hivi ndio uone Uislam ni wa hovyo namna hii... kuna yupo Adiosamigo na Ritz na green rajab na wengine sisi tushawazoea
 
Wewe unaonesha hata kinachodedelea hukielewi.

Nakushauri subiri mchungaji akakuongopee, si kondoo tu wewe?
Mkuu haya makondoo hayana uwezo wa kufikiri independently ni lazima yasubiri wachungaji wa kondoo wakawadanganye ndiyo wanakuja mbio mbio humu kutapika matakataka waliyolishwa.

Hawaruhusiwi kutumia bongo zao isipokuwa kile tu wanacholishwa. Hili nina uhakika nalo kuna marafiki zangu kibao wakitoka makanisani kama hii leo jumapili basi stori za kuukashifu uislamu ndiyo zimakuwa nyingi.
 
Wakiristo aliyewabatiza jina la makondoo mumlaani hasa maana tabia za kondoo zinafahamika.

Kondoo ndiye mfugo anayeaminika kukosa akili kabisa yeye ni kuswagwa tu kokote hana akili kabisa afadhali ya mbuzi ni mjanja anakwepa mitego ya kibwege.
 
Sidhani kama ni kweli hii. Kwa hali iliyopo kwasasa sio rahisi Ndege ya Iran ikaingi Lebanon halafu ikaacha bila kulipuliwa
yule waziri wa mambo ya nje wa Iran aliingia vip juzi Lebanon na kutoka? au alikodi mashua?
 
Ndege za Iran mbona zinaingia lebanon na wamesema waone mbabe awadunguwe, juzi kashuka waziri wao wa mambo ya nje.
Kwa hiyo ulivyotamka tu hivi tayari Iran kamshinda Israel? Soon nitakukumbusha haya maneno yako
 
nina uhakika nalo kuna marafiki zangu kibao wakitoka makanisani kama hii leo jumapili basi stori za kuukashifu uislamu ndiyo zimakuwa nyingi.
Hao siyo rafiki zako acha uongo! Wangekuwa rafiki zako usingewaita majina ya kutusi kama unavyofanya sasa (unawaita makondoo!!!)! Lakini kama wangekuwa rafiki zako, wasingekashifu imani yako! Tafuta marafiki ndugu!
 
Back
Top Bottom