Hizbollah ni chama cha siasa pale Lebanon na kina siti za bunge katika bunge la Lebanon na wao ndio wana mamlaka kusini mwa Lebanon.Inaelekea serikali ya Lebanoni nayo ni dhaifu sana; Hezbollah ni kikundi cha kigaidi, hakimilikiwi na serikali, in fact serikali haikitaki, serikali inajua kabisa kikundi hicho kina fadhiliwa na Iran but still wala serikali haineshi kama haipendi; nchi yao imegeuzwa kua uwanja wa vita ambayo kimsingi haina faida yoyote kwao; stupid
Usiongee kama hujui kitu.
Waisoipenda Hizbollah ni pro-west ila kila Mlebanon mwenye akili anaipenda Hizbollah.
Sawa hatukatai uwepo wa Hizbollah umeleta maafa Lebanon ila pasi na Hizbollah hiyo Lebanon sasa ingekua imemegwa kama Gaza na ingekua imesambaratika kama Syria.