Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Kwahiyo wewe unaona ni dhaifu kwa sababu Hezbollah anapigana na Israel au kwa sababu ipi?Haiondoi ukweli kwamba serikali ya Lebanoni ni dhaifu; hawa Hezbollah kwa asili ni Wapalestina waliokimbilia Lebanoni kama wakimbizi, sawa tu na kinacho endelea Congo/Zaire; wale Watutsi almaarufu kama Banyamulenge walikimbilia kule na sasa wanatishia kuipndoa serikali iliopo madarakani, nonsense.
Karibu kwa elimu kaka; nipo tayari kujifunza