Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Watashushwa na ndevu zao kuzimuLeo ndege ya kivita ya Iran jet ya kivita imeonekana ikiwa imeingia katika nchi ya Lebanon kwaajili ya kuwapelekea silaha na kuisaidia Hezbollah dhidi ya Israel.
Rada za Israel zimeinasa ndege hiyo ya kivita ya Iran kitu kilicho pelekea kuzuka Kwa tension kubwa kwamba iran ameanza rasmi kuingiza mguu wake Huko Lebanon kupambana na israel,