Ndege ya kivita ya Iran imeingia Lebanon kupambana na Israel

Watashushwa na ndevu zao kuzimu
 
"Leo ndege ya kivita ya Iran jet ya kivita imeonekana ikiwa imeingia katika nchi ya Lebanon kwaajili ya kuwapelekea silaha na kuisaidia Hezbollah dhidi ya Israel."
Hizi post zinatufanya Watanzania tuonekane na IQ n

Muwe mnaandika kwa weledi basi, siyo kiushabiki.
Jet ya kivita inabeba mizigo?
 
Sass muwe pole iyo na mjue kuwa ata iyo inayoitwa serikali y Lebanon nayo inapewa ufadhili na iran. boss anuniwi
 
Kuna uzi humu unaeleza kuwa hyo nchi haina rais toka 2022,na hao hezbollah ni chama cha siasa chenye nguvu huko lebanon na wana jeshi kabisa
 
Ndiyo umeshamaliza kuandika? Au imeji post ukiwa unaendelea kuandika?
 
Lebanon awana jesh ukitafuta ukweli ila sungusungu tu jesh kama jesh wanategemea hezbollah ulinzi w nchi ni hezbollah mue mnaelewa.
 
Kumbe tuna watu wengi hapa hawajui lolote kuhusu Lebanon Wala Hezbollah. Kwa taarifa Yako Hezbollah ndio Wana wabunge wengi wanaounda serikali ya waziri mkuu wa Lebanon. Hezbollah ni kama CCM kule Lebanon
 
"Leo ndege ya kivita ya Iran jet ya kivita imeonekana ikiwa imeingia katika nchi ya Lebanon kwaajili ya kuwapelekea silaha na kuisaidia Hezbollah dhidi ya Israel."
Hizi post zinatufanya Watanzania tuonekane na IQ ndogo.
😅 😅

Afadhali umeona,
 
Hii dunia tunakoelekea ni kutamu
Twende huko huko tu maana vizazi vingi vya sasa havijashudia madhara ya vita vya mataifa (Dunia). Tutakapopita huko ndipo tutajua kufanya siasa za usawa na kuthamini maisha ya kila binadamu na maendeleo halisi ya kipindi husika.
 
"Leo ndege ya kivita ya Iran jet ya kivita imeonekana ikiwa imeingia katika nchi ya Lebanon kwaajili ya kuwapelekea silaha na kuisaidia Hezbollah dhidi ya Israel."
Hizi post zinatufanya Watanzania tuonekane na IQ ndogo.
IQ inahusikaje hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…