Lebanon hao Hezbollah ni askari wa IranNdege za Iran mbona zinaingia lebanon na wamesema waone mbabe awadunguwe, juzi kashuka waziri wao wa mambo ya nje.
Iran Italia kilio cha uchungu na wewe utawaombolezeaNdege za Iran mbona zinaingia lebanon na wamesema waone mbabe awadunguwe, juzi kashuka waziri wao wa mambo ya nje.
Hayajaanza leo wala jana. Ssa Iran imeshatangaza, muda wa kustahamili umepitwa na wakati.Iran Italia kilio cha uchungu na wewe utawaombolezea
Ndege inaingia lebanon kupigana vita ya ardhin 😀😀😀😀😀😀i"Leo ndege ya kivita ya Iran jet ya kivita imeonekana ikiwa imeingia katika nchi ya Lebanon kwaajili ya kuwapelekea silaha na kuisaidia Hezbollah dhidi ya Israel."
Hizi post zinatufanya Watanzania tuonekane na IQ ndogo.
Na ukisikia wanapiga na mazayuni ujuwe ni wamarekani na nato yote.Lebanon hao Hezbollah ni askari wa Iran
Lebanon wenyeji waislamu ni wachache na hawana uadui na Israel
Iran ndiye kajaza askari wake Lebanon
Hivyo ukisikua Israel inapigana na Hezbollah ujue inapigana na Iran na sio Lebanon
Haiondoi ukweli kwamba serikali ya Lebanoni ni dhaifu; hawa Hezbollah kwa asili ni Wapalestina waliokimbilia Lebanoni kama wakimbizi, sawa tu na kinacho endelea Congo/Zaire; wale Watutsi almaarufu kama Banyamulenge walikimbilia kule na sasa wanatishia kuipndoa serikali iliopo madarakani, nonsense.Kumbe tuna watu wengi hapa hawajui lolote kuhusu Lebanon Wala Hezbollah. Kwa taarifa Yako Hezbollah ndio Wana wabunge wengi wanaounda serikali ya waziri mkuu wa Lebanon. Hezbollah ni kama CCM kule Lebanon
Huwezi kusema serikali ya Lebanon ni dhaifu kwani Kuna serikali ngapi zaidi ya serikali ya Hezbollah? Hezbollah wapo bungeni wapi Serikalini ndio serikali yenyewe.Haiondoi ukweli kwamba serikali ya Lebanoni ni dhaifu; hawa Hezbollah kwa asili ni Wapalestina waliokimbilia Lebanoni kama wakimbizi, sawa tu na kinacho endelea Congo/Zaire; wale Watutsi almaarufu kama Banyamulenge walikimbilia kule na sasa wanatishia kuipndoa serikali iliopo madarakani, nonsense.
Chekelea tu sion hao iran watampelekea makalio Allah ili awanyonyeNdege za Iran mbona zinaingia lebanon na wamesema waone mbabe awadunguwe, juzi kashuka waziri wao wa mambo ya nje.
Jet fighter sio ndege ya mizigoIQ inahusikaje hapo?
Athari za Madrassa sio issue ya kitanzania... hawa jamaa thread zao zote ndio zipo hivi ndio uone Uislam ni wa hovyo namna hii... kuna yupo Adiosamigo na Ritz na green rajab na wengine sisi tushawazoea"Leo ndege ya kivita ya Iran jet ya kivita imeonekana ikiwa imeingia katika nchi ya Lebanon kwaajili ya kuwapelekea silaha na kuisaidia Hezbollah dhidi ya Israel."
Hizi post zinatufanya Watanzania tuonekane na IQ ndogo.
Hilo ni suala la IQ?Jet fighter sio ndege ya mizigo
Mkuu haya makondoo hayana uwezo wa kufikiri independently ni lazima yasubiri wachungaji wa kondoo wakawadanganye ndiyo wanakuja mbio mbio humu kutapika matakataka waliyolishwa.Wewe unaonesha hata kinachodedelea hukielewi.
Nakushauri subiri mchungaji akakuongopee, si kondoo tu wewe?
yule waziri wa mambo ya nje wa Iran aliingia vip juzi Lebanon na kutoka? au alikodi mashua?Sidhani kama ni kweli hii. Kwa hali iliyopo kwasasa sio rahisi Ndege ya Iran ikaingi Lebanon halafu ikaacha bila kulipuliwa
Kwa hiyo ulivyotamka tu hivi tayari Iran kamshinda Israel? Soon nitakukumbusha haya maneno yakoNdege za Iran mbona zinaingia lebanon na wamesema waone mbabe awadunguwe, juzi kashuka waziri wao wa mambo ya nje.
Hao siyo rafiki zako acha uongo! Wangekuwa rafiki zako usingewaita majina ya kutusi kama unavyofanya sasa (unawaita makondoo!!!)! Lakini kama wangekuwa rafiki zako, wasingekashifu imani yako! Tafuta marafiki ndugu!nina uhakika nalo kuna marafiki zangu kibao wakitoka makanisani kama hii leo jumapili basi stori za kuukashifu uislamu ndiyo zimakuwa nyingi.