Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Kwahiyo wewe unaona ni dhaifu kwa sababu Hezbollah anapigana na Israel au kwa sababu ipi?Haiondoi ukweli kwamba serikali ya Lebanoni ni dhaifu; hawa Hezbollah kwa asili ni Wapalestina waliokimbilia Lebanoni kama wakimbizi, sawa tu na kinacho endelea Congo/Zaire; wale Watutsi almaarufu kama Banyamulenge walikimbilia kule na sasa wanatishia kuipndoa serikali iliopo madarakani, nonsense.
Karibu kwa elimu kaka; nipo tayari kujifunza
kibahaPicha ya hiyo ndege tafadhali!
Sababu ya kuanzishwa Hezbollah ni kuikomboa Lebanon kutoka Kwa Israel waliokuwa wanakalia maeneo ya Lebanon leo Tena Israel awe mkombozi wa Lebanon kweli bangi sio nzuriIsrael imedhamiria kuleta ukombozi Lebanon kutoka kwenye mikono ya magaidi.
Wewe unaona ni sawa wageni kuigeuza nchi yako kua uwanja wa vita?Kwahiyo wewe unaona ni dhaifu kwa sababu Hezbollah anapigana na Israel au kwa sababu ipi?
Zinaingia sana na kutoka na Israel anajua na anaziona aziguse aone mziki wake.Leo ndege ya kivita ya Iran jet ya kivita imeonekana ikiwa imeingia katika nchi ya Lebanon kwaajili ya kuwapelekea silaha na kuisaidia Hezbollah dhidi ya Israel.
Rada za Israel zimeinasa ndege hiyo ya kivita ya Iran kitu kilicho pelekea kuzuka Kwa tension kubwa kwamba iran ameanza rasmi kuingiza mguu wake Huko Lebanon kupambana na israel,
Prince; tujipe muda. Naona kama hili suala ni kama tunaingiza sana ushabiki kama wa Yanga na Simba or Chadema na CCM. Watu wana KUFA again those guys wanajuana for so long, sie wa Mbagara rangi 3 tunahusisha na dini which is not true.Zinaingia sana na kutoka na Israel anajua na anaziona aziguse aone mziki wake.
Hezbollah sialaha zao n frm Iran mesahau hii walitaka ziende kwa wifi au bulhuuuuutuuuuthiNdege za Iran mbona zinaingia lebanon na wamesema waone mbabe awadunguwe, juzi kashuka waziri wao wa mambo ya nje.
Tazama silaha zinazotengenezwa tabata ya Ghaza zinavyofanya kazi, hii leo sasa hivi:Hezbollah sialaha zao n frm Iran mesahau hii walitaka ziende kwa wifi au bulhuuuuutuuuuthi
Siyo sawa wayahudi kuigeuza Palestina kuwa nchi ya vitaWewe unaona ni sawa wageni kuigeuza nchi yako kua uwanja wa vita?
Hilo ni suala la IQ?
kitu pekee kinachoweza kuitisha israel toka iran ni misiles, sio ndege. kama ni ndege, israel na marekani wanazo nyingi mno mno.Leo ndege ya kivita ya Iran jet ya kivita imeonekana ikiwa imeingia katika nchi ya Lebanon kwaajili ya kuwapelekea silaha na kuisaidia Hezbollah dhidi ya Israel.
Rada za Israel zimeinasa ndege hiyo ya kivita ya Iran kitu kilicho pelekea kuzuka Kwa tension kubwa kwamba iran ameanza rasmi kuingiza mguu wake Huko Lebanon kupambana na israel,
Hezbollah ni chama cha kisiasa.Inaelekea serikali ya Lebanoni nayo ni dhaifu sana; Hezbollah ni kikundi cha kigaidi, hakimilikiwi na serikali, in fact serikali haikitaki, serikali inajua kabisa kikundi hicho kina fadhiliwa na Iran but still wala serikali haineshi kama haipendi; nchi yao imegeuzwa kua uwanja wa vita ambayo kimsingi haina faida yoyote kwao; stupid
Chakula cha rohoMti dawa