Ndege ya Precision yazimika injini ikiwa angani

Jmn serekali iangalie upya swla la kuruka na ungo maanoa ajali zake Ni chache na hakuna aliyeripotiwa kufa mpk sas

Ungo uruhusiwe tu kuwa mbadla ya ndeg hzi zazamanni
 
Chombo chochote chenye mifumo, kupata hitilafu ni kawaida
 
Ila pia huwa haishauriwi kufanya hivyo, maana engine failure moja inaweza sababisha zote zikazima, kwani moja yaweza zidiwa
Etops standards inataka engine moja iwe na uwezo wa kurusha ndege kwa hadi dakika 60 ikiwa solo. By then inakadiriwa kuwa kutakuwa kumepatikana ground ya kutua in case of emergency.

Ni moja ya sababu kubwa ya quads jets kupoteza soko, kabla ya Etops ndege kama boeing 747 , airbus A340, pamoja na kuwa heavy kwenye mafuta zilionekana kuwa salama sana kwa sababu zilikuwa na engine nne , baada ya etops , twin jets zikaonekana kuwa zinaweza kuruka mbali pia kwa gharama nafuu za mafuta
 
Samahani Mdau! "Zero" na "none" sio kitu kimoja kweli?. Maana wengine tunaongeza misamiati humu humu mitandaoni.
Haha kweli nimechapia !!!
Nilitaka kusema slim to none , hii ni american street language . Hata mie najifunza vingi humu humu , Jf ni kijiji kikubwa
 
hi stori nimekumbuka snoop dog alivuta bangi ina sumu akafa..soul plane
 
Nawaza huyp dogo amejuaje kama engine moja imezima? While haoni dashboard? Nitoeni ushamba hapo
Hizi ndege za precision engine zake ni za pangaboy so ukikaa siti ya dirishani usawa wa bawa la ndege ukichungulia unaiona ikizunguka...
 
Asante kwa kutuelimisha; naomba kujua
1. Engine zikizima zote, ndege hizi za kawaida Abiria 45 to 170 hivi inaweza kutembea umbali gani kwa battery?
2. Hivi vindege vidogo vya hapa nyumbani - Caravan (C208) na Pilatus (PC12) karibia zote zina Engine moja; Je nazo zina backup battery? Je hiyo engine ikizimika battery yake inaweza kwenda umbali gani?
 
Hakuna rubani anaweza kubali ruka na engine 1
Hiyo ikukute tu angani ndo waweza angalia karibu wapi, na ikitokea ikafail ndo yale ya Captain Sully, tafuta maji au mlipuke
Mkuu kuna pilots wengine ni wajinga hasa.... kuna moja wa hizi ndege ndogo za injini moja tulikuwa tupo wasela watupu tunatoka nairobi kwenda KIA sasa katika kupiga story tukaanza kubishana kama ndege inaweza kwenda ikiwa imezimwa injini sasa katika kutupa ile assurance kwamba hilo linawezekana aliamua kuzima engine ndege ikiwa angani kabisa kwa dakika moja hivi kisha kaiwasha tena..
 
Toka JPM kufariki mambo yanakwenda bila ya kujali chochote watu wanawaza kulamba asali hata shirika la reli ya kati sijawai kuona wafanyakazi wakiweka reli sawa kama kipindi cha jpm kila siku wafanyakazi wapo relini tanafanya mambo na maboresho
 
Injini za ndege sio kama za bajaj. Kila injini inajitegemea kuanzia mifumo hadi utendaji.na Kila injini inao uwezo wa kuhakikisha ndege inatua salama hata kama zote zimezima
 
Inawezekana huyu dogo wa kutoka ubeberuni asingewaambia abiria wa kibongo kuwa injini moja imezima rubani angeforce kulifikisha dude Dar
Ni kweli kabisa tena ukizingatia serikali uchwara ya mama ndiyo kabisa ...majuzi treni imeanguka kwa reli kutokukaguliwa hakuna aliye wajibishwa sasa hivi kuwakuta wafanyakazi wa reli wakiweka sawa reli na kokoto na kufanya ukaguzi ni ndoto toka jpm kafa sijawai kuwaona hata siku moja
 
Mh .....ni kweli unayo sema kuwa alizima injini nzima badala ya mbovu?
 
Muda gani inaweza kuruka na engine moja?
Anakudanganya inaweza kwenda kwa injini moja vizuri tu ikiwa angani .... ila kuruka na injini moja ndiyo inakuwa shida inapokuwa ardhini...ila umbali unapungua kutokana na mafuta na nguvu kuwa ni injini moja ...mafuta kwenye ndege yanagawanywa kuendesha injini huku na huku
 
Mimi sio expert wa aviation ila nafahamu mawili matatu kuhusiana na ndege. Kiufupi ndege ya engine mbili ni lazima kwa mujibu wa Etops standards iweze kusafiri angani ikiwa na engine moja kwa zaidi ya dakika 60.

Hiyo ya kuvuta upande mmoja umekariri , kuna namna rudder kule nyuma amabayo ndiyo usukani wa ndege , rudder ndiyo inacompesate balance ya ndege hata kama thrust inatokea upande mmoja wa engine.

Ndege za engine tatu trijets kwa sasa hazipo tena kwenye biashara ya abiria , hizi ni mc donnel md 10 md 11 , pamoja na loockheed L 1011, The last mc donnel md 11 , nafikiri ilikuwa operated na KLM na hapa Tanzania ilikuwa inatua pia . Trijets zipo kwenhe biashara ya mizigo , hata Fedex md10 huwa inatua Dar.
 
Back up ya battery inatumika kwa ajili ya avionics operations , vitu ambavyo vingi by default vinatumia hydraulics., , vitu kama areolons , rudder ,landing gears etc vinaeza kuwa operated na back up system, lakini siyo trust!, backup system vina mfanya pilots aweze kukontrol ndege kushuka chini huku akitafuta sehemu salama ya kutua ,siyo smooth landing bali crash landing
Thrust inatoka kwenye engine tu ,
 
Hii sio kweli, hata kama angekuwa mjinga kiasi gani, asingeweza kurisk maisha yake in that way.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…