goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Mm mwenye nmepata wenge la kutosha yaaniAiseee unaweza kufa kwa presha ukisikia hizo habari ukiwa juu huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm mwenye nmepata wenge la kutosha yaaniAiseee unaweza kufa kwa presha ukisikia hizo habari ukiwa juu huko
Duuuu! UmetishaSuluhisho la haya yote ni katiba mpya
Etops standards inataka engine moja iwe na uwezo wa kurusha ndege kwa hadi dakika 60 ikiwa solo. By then inakadiriwa kuwa kutakuwa kumepatikana ground ya kutua in case of emergency.Ila pia huwa haishauriwi kufanya hivyo, maana engine failure moja inaweza sababisha zote zikazima, kwani moja yaweza zidiwa
Haha kweli nimechapia !!!Samahani Mdau! "Zero" na "none" sio kitu kimoja kweli?. Maana wengine tunaongeza misamiati humu humu mitandaoni.
Mimi huwa sijambagi asilani.Unaongea kirahisi kwasababu akili imetulia huku ardhini. Laiti ungekuwepo huko angani ingekuwa ni full kujamba jamba na kutoa kamasi!
Hizi ndege za precision engine zake ni za pangaboy so ukikaa siti ya dirishani usawa wa bawa la ndege ukichungulia unaiona ikizunguka...Nawaza huyp dogo amejuaje kama engine moja imezima? While haoni dashboard? Nitoeni ushamba hapo
Asante kwa kutuelimisha; naomba kujuaRelax wakuu, ndege hizi Zina engine mbili na engine moja ina uwezo wa kuifikisha ndege salama means to land safely, na hata engine zote zikizima pilot ana uwezo wa to land ndege as far as electronics ziwe zinafanya kazi(elewa kuna back up batteries zake).
Kudos kwa pilot wetu inajionyesha ni jinsi gani upo byeee na kwa abiria na wafanyakazi wote ambao mlitulia vema ndani ya ndege, ni MUHIMU mno kusikiliza yale maagizo yanayotolewa kabla ya safari kuhusu emergency.
Wengi wetu huwa we don't pay any attention kwa kufikiria it will not happen to us! Usafiri wa ndege ndio salama kuliko wote duniani.
Mkuu kuna pilots wengine ni wajinga hasa.... kuna moja wa hizi ndege ndogo za injini moja tulikuwa tupo wasela watupu tunatoka nairobi kwenda KIA sasa katika kupiga story tukaanza kubishana kama ndege inaweza kwenda ikiwa imezimwa injini sasa katika kutupa ile assurance kwamba hilo linawezekana aliamua kuzima engine ndege ikiwa angani kabisa kwa dakika moja hivi kisha kaiwasha tena..Hakuna rubani anaweza kubali ruka na engine 1
Hiyo ikukute tu angani ndo waweza angalia karibu wapi, na ikitokea ikafail ndo yale ya Captain Sully, tafuta maji au mlipuke
Toka JPM kufariki mambo yanakwenda bila ya kujali chochote watu wanawaza kulamba asali hata shirika la reli ya kati sijawai kuona wafanyakazi wakiweka reli sawa kama kipindi cha jpm kila siku wafanyakazi wapo relini tanafanya mambo na maboreshoView attachment 2306678
Abiria ndani ya ndege ya Kampuni ya Precision, jana waliingiwa na hofu ya usalama wao baada ya injini moja kuzima ikiwa angani.
Ndege hiyo yenye namba PW 467 ikitokea Kahama, ikielekea Dar es Salaam kupitia Mwanza, ilizima injini baada ya dakika 51 kuruka kutoka uwanja wa ndege wa Mwanza.
Hofu ilianza kutokea baada ya abiria mmoja, kijana wa kizungu, kuanza kupiga kelele, akiwaeleza wenzake waliokuwa wameketi jirani, kwamba injini imezima.
Baadaye abiria wengine waliingiwa hofu, huku baadhi wakisali, wakilia na wengine kuonekana wamejiinamia, huku wamefunika nyuso zao.
Baada ya abiria kuonekana 'wakipaniki' ndipo rubani wa ndege hiyo alitangaza kuwepo kwa hitilafu hiyo huku akieleza kwamba hali siyo ya kutisha sana.
"Abiria wetu wapenzi, ndege yetu imepata tatizo la kiufundi, injini moja imezima, lakini hakuna haja ya kuwa na wasiwasi kwani, tunapanga kutua katika kiwanja jirani na hapa tulipo," alisema rubani huyo.
Hata hivyo, tulizo la mwana anga huyo halikuleta afueni ya wasiwasi kwa abiria wengi, waliendelea na hofu yao, huku wengine waliokuwa hawajatambua kinachoendelea wakiungana na wengine kusononeka.
Rubani alirejea tena kwa tangazo; "Abiria wetu wapendwa, tunasikitika kwa kilichotokea, nawaomba kuwa watulivu wakati sasa tunajiandaa kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Tutatua ndani ya dakika 20."
Baada ya muda huo, ndege hiyo ilitua salama katika uwanja huo na abiria walishangilia. Wengine walipiga kofi, wengine wakipiga kelele za shangwe na wengine wakimshukuru Mungu.
Mmoja wa abiria aliyekuwamo ndani ya ndege hiyo, Simon Mkina, aliandika katika ukurasa wake wa Twitter na taarifa hiyo kusambaa dunia nzima, huku akipongezwa kwa kutoa taarifa hiyo mapema.
Ni kweli kabisa tena ukizingatia serikali uchwara ya mama ndiyo kabisa ...majuzi treni imeanguka kwa reli kutokukaguliwa hakuna aliye wajibishwa sasa hivi kuwakuta wafanyakazi wa reli wakiweka sawa reli na kokoto na kufanya ukaguzi ni ndoto toka jpm kafa sijawai kuwaona hata siku mojaInawezekana huyu dogo wa kutoka ubeberuni asingewaambia abiria wa kibongo kuwa injini moja imezima rubani angeforce kulifikisha dude Dar
Mh .....ni kweli unayo sema kuwa alizima injini nzima badala ya mbovu?Ile ndege ya iliyobeba Wana Chipolopolo iliungua engine moja, rubani katika kuokoa jahazi alikusudia kuzima engine hiyo, kwa bahati mbaya alizima ile engine nzima daah. RIP Moses Chikwalakwala, Wisdom Chansa, John Soko, Numba Mwila, Eston Mulenga, David Chabala, Kelvin Mutale, Godfrey Chitalu, Alex Chola, Peter Mwanza na wenzenu. Hii ndege imenikumbusha nyuma kidogo.
Anakudanganya inaweza kwenda kwa injini moja vizuri tu ikiwa angani .... ila kuruka na injini moja ndiyo inakuwa shida inapokuwa ardhini...ila umbali unapungua kutokana na mafuta na nguvu kuwa ni injini moja ...mafuta kwenye ndege yanagawanywa kuendesha injini huku na hukuMuda gani inaweza kuruka na engine moja?
Mimi sio expert wa aviation ila nafahamu mawili matatu kuhusiana na ndege. Kiufupi ndege ya engine mbili ni lazima kwa mujibu wa Etops standards iweze kusafiri angani ikiwa na engine moja kwa zaidi ya dakika 60.Napata shida kuelewa juu ya kuzima kwa engine moja na ndege na kuendelea na safari. Ndege za Precision Air hazina engine tatu; zote zina engine mbili, kila bawa imefungwa engine moja. Kuruka na kupaa kwa ndege hizi za engine mbili, ni lazima engine zote mbili zifanye kazi. Ikitokea engine moja ikazima, ndege hiyo haiwezi kuendelea na mwendo katika uelekeo wake, kwani engine moja inayofanya kazi itavuta upande mmoja na kupoteza direction. Nadhani kulikuwa na hitilafu tu ya engine, lakini sio engine kuzima. Kama ingekuwa na engine tatu; engine hii ya tatu ambayo haitegemeani na nyingine (unpaired), hata ikizima, ndege inaweza kwenda in the same direction, labda speed ndio itapungua, kwakuwa the turning torque is balanced.
Back up ya battery inatumika kwa ajili ya avionics operations , vitu ambavyo vingi by default vinatumia hydraulics., , vitu kama areolons , rudder ,landing gears etc vinaeza kuwa operated na back up system, lakini siyo trust!, backup system vina mfanya pilots aweze kukontrol ndege kushuka chini huku akitafuta sehemu salama ya kutua ,siyo smooth landing bali crash landingAsante kwa kutuelimisha; naomba kujua
1. Engine zikizima zote, ndege hizi za kawaida Abiria 45 to 170 hivi inaweza kutembea umbali gani kwa battery?
2. Hivi vindege vidogo vya hapa nyumbani - Caravan (C208) na Pilatus (PC12) karibia zote zina Engine moja; Je nazo zina backup battery? Je hiyo engine ikizimika battery yake inaweza kwenda umbali gani?
Hii sio kweli, hata kama angekuwa mjinga kiasi gani, asingeweza kurisk maisha yake in that way.Mkuu kuna pilots wengine ni wajinga hasa.... kuna moja wa hizi ndege ndogo za injini moja tulikuwa tupo wasela watupu tunatoka nairobi kwenda KIA sasa katika kupiga story tukaanza kubishana kama ndege inaweza kwenda ikiwa imezimwa injini sasa katika kutupa ile assurance kwamba hilo linawezekana aliamua kuzima engine ndege ikiwa angani kabisa kwa dakika moja hivi kisha kaiwasha tena..