Ndege ya Precision yazimika injini ikiwa angani

Mkuu unafananisha engine ya ndege na matairi ya gari?
 
Hili mkuu ni tatizo la mazoea, ni tabia mbaya sana ,huwezi ukawa unarusha ndege hauna concentration na unachokifanya maana factor kubwa inayoathiri ndege hata magari ni weather, hali ya hewa inapobadilika nawe ni lazima uwe on top of it sio kinyume chake, unapoendesha gari na mvua inanyesha hapo driver lazima upunguze speed, good following speed, light on, etc etc ,sasa madereva wengi wanajifanya ni Lewis Hamilton na matokeo yake ni ajali
 
Aiseee unaweza kufa kwa presha ukisikia hizo habar ukiwa juu huko
Mie ndio nashanga inakuwaje pilot anatoa tangazo hilo maana wengine wanaweza kufa kwa presha. Yeye anapaswa apambane na hiyo ndege mpaka inatua ndio atoe taarifa.
 
Uko sahihi mkuu, tunachukulia vitu vingi masihara na mazoea
 
Mmmmmm mkuu iam afraid you got this wrong, hata zile jumbo jets engine moja ina uwezo wa kuirusha na kutua kwa kutumia engine moja, ungekua na hobby ya mambo haya ya aviation hili lisingekupa utata, Kuna miaka kadha ya nyuma ndege kubwa ya British Airways iliyokua inakwenda far east ilipoteza engine zote(4)ikiwa angani, pilot's na flight engineer waliweza kuilinda hii ndege kwa kutumia simple physics ikiwa ni pamoja na kukwepa milima kadha, engine zote ziliwaka umbali sio mbali ,kama una uwezo Anza kuangalia kipindi cha Air crash investigation
 
Sasa unavaaje boya angani we mzeee..... Au ulitaka kusema parachute...😁😁😁😁
Mkuu umewahi kweli kupanda ndege? kama umewahi je huwa unasikiliza maelekezo unayepewa in case kuna hatari? Ok nikupe elimu ndogo tu kuwa ndege hizi za biashara hakuna parachute ila kuna maboya kwani hatari ikitokea rubani hupambana kuitua kwenye maji. So abiria unatakiwa kuvaa boya ambalo liko chini ya siti yako.
 
Au mimi huwa sielewi... ukipanda ndege za Far trip mbona kama kuna wakati mlio wa engine huwa siusikii.. mimi nikajua Pilots huwa anaweza zima Engine m1 kuipumzisha kisha kuiwasha... wakakati ndege ikiwa angani
 
Inawezekana huyu dogo wa kutoka ubeberuni asingewaambia abiria wa kibongo kuwa injini moja imezima rubani angeforce kulifikisha dude Dar
Ubeberuni haya madude kwao kawaida tu ndo maana yank alishtuka,ila hawa wanaojiita ma mwamba wa kibena sijui,ma mwamba ya kichaga na kizaramo walifikiri tu labda pilot amepunguza ac wakatulia tuliiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…