Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Kama ni muvi utasikia; 'Flight nainanaina, we are out of fuel, the plane is flying on vapours'....... hatari mwanawanee.Kifupi alikuwa anatembelea choki πππ
Kuna ndege inaruka bila ya kuwa na mafuta?Hizi ndege ndogo nakumbuka niliwahi kukaa pale mbele na pilot, tulikua tunatokea Pemba, ndege ilikua imekwisha kabisa mafuta na ilikua inapiga alarm tukaruka mpaka unguja, hakujaza mafuta, tukaenda nayo mpaka uwanja wa Dar.
Siku hiyo ilikua tete maana jamaa alikua mbishi mno yeye alikua analazimisha kufika dar ndio ajaze mafuta.
Jinga sana yule jamaa.
Labda anazungumzia vindege vidogo..Kuna ndege ina engine moja??
Most planes can fly with one engine.
Yes one engine. Under severe weather conditions even two engines can struggle.Yenye engine moja?
Yes they can but I believe there are other conditions for this to be possible eg pleasant weather meaning no strong wind, heavy clouds
Thank God we are safe.View attachment 2306678
Abiria ndani ya ndege ya Kampuni ya Precision, jana waliingiwa na hofu ya usalama wao baada ya injini moja kuzima ikiwa angani.
Ndege hiyo yenye namba PW 467 ikitokea Kahama, ikielekea Dar es Salaam kupitia Mwanza, ilizima injini baada ya dakika 51 kuruka kutoka uwanja wa ndege wa Mwanza.
Hofu ilianza kutokea baada ya abiria mmoja, kijana wa kizungu, kuanza kupiga kelele, akiwaeleza wenzake waliokuwa wameketi jirani, kwamba injini imezima.
Baadaye abiria wengine waliingiwa hofu, huku baadhi wakisali, wakilia na wengine kuonekana wamejiinamia, huku wamefunika nyuso zao.
Baada ya abiria kuonekana 'wakipaniki' ndipo rubani wa ndege hiyo alitangaza kuwepo kwa hitilafu hiyo huku akieleza kwamba hali siyo ya kutisha sana.
"Abiria wetu wapenzi, ndege yetu imepata tatizo la kiufundi, injini moja imezima, lakini hakuna haja ya kuwa na wasiwasi kwani, tunapanga kutua katika kiwanja jirani na hapa tulipo," alisema rubani huyo.
Hata hivyo, tulizo la mwana anga huyo halikuleta afueni ya wasiwasi kwa abiria wengi, waliendelea na hofu yao, huku wengine waliokuwa hawajatambua kinachoendelea wakiungana na wengine kusononeka.
Rubani alirejea tena kwa tangazo; "Abiria wetu wapendwa, tunasikitika kwa kilichotokea, nawaomba kuwa watulivu wakati sasa tunajiandaa kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Tutatua ndani ya dakika 20."
Baada ya muda huo, ndege hiyo ilitua salama katika uwanja huo na abiria walishangilia. Wengine walipiga kofi, wengine wakipiga kelele za shangwe na wengine wakimshukuru Mungu.
Mmoja wa abiria aliyekuwamo ndani ya ndege hiyo, Simon Mkina, aliandika katika ukurasa wake wa Twitter na taarifa hiyo kusambaa dunia nzima, huku akipongezwa kwa kutoa taarifa hiyo mapema.
Sawa.Kipara ni kipara .Huwezi kukuta vipara kwenye tairi za ndege za watu makini.
Mkuu unanisikitisha.... Vipi kitengo chetu cha anga gizani kimeshindwa kutatua changamoto tufike haraka na kwa usalamaNa mchana huu nilikuwa nataka ni book ticket ya kurudi Dar kupitia kwao[emoji15][emoji3064]
Usikute ana ideas kuhusu usafiri wa anga. Ni kama dereva wa gari kampakia dereve mwingineNawaza huyp dogo amejuaje kama engine moja imezima? While haoni dashboard? Nitoeni ushamba hapo
π€£π€£π€£π€£ Duh!!!!!Au mimi huwa sielewi... ukipanda ndege za Far trip mbona kama kuna wakati mlio wa engine huwa siusikii.. mimi nikajua Pilots huwa anaweza zima Engine m1 kuipumzisha kisha kuiwasha... wakakati ndege ikiwa angani
Vipi, linahitajika ini la mtu?Ule kidogo umepata mushkeli kuna spare ina shida kidogo
Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
Mimi huwa nashangaa vile vindege ambavyo huwa vina pangaboi moja pale mbele tu. Sipati picha Hilo pangaboi likizungua.Most planes can fly with one engine.
Likizingua huwa vinatua hadi juu ya mti πππππππ. Uzuri wake hata barabarani kanatua.Mimi huwa nashangaa vile vindege ambavyo huwa vina pangaboi moja pale mbele tu. Sipati picha Hilo pangaboi likizungua.
Ndio mkuu hiyo ilikua haina.Kuna ndege inaruka bila ya kuwa na mafuta?
Vindege vidogo vingi vina engine moja mfano hivi vindege vinaenda Zanzibar, Mafia, Tanga, kwenye mbuga za wanyama kama Selous, Ruaha, vina engine moja.Kuna ndege ina engine moja??
Hata huyo aliyepost Twitter alikuwa anatafta kiki/ attention kwa watuVitu vingine ni kuwatengenezea watu taharuki ambazo hazina maana ..
Ni mjinga sana, anaharibu biashara za watu.. braza alitaka hata lingetokea jambo angekuwa kapost ya mwisho mwisho.
Kwahiyo watatua wiki ijayo.[emoji1][emoji848]Bado