Ndege ya Rais yaonekana Dubai, Saudi Arabia

Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia! Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani katika nchi hizo mbili za UAE na SAUD ARABIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndipo waliopo ikulu wako nyuma sana na maswala ya technology. Usafiri wa anga sio kama bajaji [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi za Magu, wawekezaji walikuwa wanakuja wenyewe wakiwa wapoleee, leo hii tunaanza kuwanyenyekea kwao........Duuuh!!
 
Ila namuonea huruma mama, naamini yeye binafsi anania njema sana, ila kuna makanjunju ndo wanamuingiza chaka.
Sio kweli huu mkataba amesaini mwenye bila hata maccm wenzake kufahamu ,hata ofis y mwanasheria mkuu , haikupewa taarifa ,saam 100 yeye anajua mkataba ni kama hati ya ndoa
 
Sio kweli huu mkataba amesaini mwenye bila hata maccm wenzake kufahamu ,hata ofis y mwanasheria mkuu , haikupewa taarifa ,saam 100 yeye anajua mkataba ni kama hati ya ndoa
Nani aliyesema kuwa mkataba ni sawa na hati ya ndowa?
 
JF ni kiboko!
 
One Of The best post[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106][emoji817]
 
Kabisa[emoji106][emoji817]
 
Rais kawadanganya waarabu, wamkande tu hukohuko, bandaari hazitoki ng'oooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…