Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumepata wanunuzi wawili waarabu. Wa kwanza ni DPWorld ambao wametupa offer mbuzi tukaikataa. Wa pili ni MBS ambaye kafika bei nzuri. Ndiyo maana mchana tukaelekea Saudia kumkabidhi atupe mpunga wetu.Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia!
Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani katika nchi hizo mbili za UAE na SAUD ARABIA.
View attachment 2701734View attachment 2701735
Atakuwa kaenda kunegotiate termsMmhh....kunani tena!?
Kwamba ikulu inaendeshwa kutokea middle East?Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia!
Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani katika nchi hizo mbili za UAE na SAUD ARABIA.
View attachment 2701734View attachment 2701735
Hii kali sana mkuu... 😁 😁 😁 😁Tanzania hakuna mafuta ya iyo ndenge hivyo imeenda kujazwa
Ameenda kuswali jamani, sala muhimu.Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia!
Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani katika nchi hizo mbili za UAE na SAUD ARABIA.
View attachment 2701734View attachment 2701735
Nitashukuru kama atakuwa ameenda kupiga magoti wabadilishe vipengele vya mkataba. ila inatia huruma sana kwamba Rais wa nchi ahangaike hivyo kwa mwekezaji, badala ya mwekezaji yeye aje hapa baada ya kuona malalamiko, rais wa nchi ndio anaenda.Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia!
Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani katika nchi hizo mbili za UAE na SAUD ARABIA.
View attachment 2701734View attachment 2701735
Ni kweli alisemaga mwenyewe kwenye mkutano wa UVCCM kuwa yeye alikuwa kwenye maNGO tu.Huyu Mama naye sasa amekuwa kiguu na njia, hatulii! Amalize miaka yake hii 2 iliyobaki apumzike!
Alizoea NGO, Nchi ni zaidi ya NGOs!
Kaitwa kuulizwa ni nini kinaendelea kwenye huu mkoa mpya wa waarabu. DP World wanamwona Rais wetu kama mkuu wa wilaya yao waliyojinunulia.Kwamba ikulu inaendeshwa kutokea middle East?
Awateme tu mazima. Kama kesi tukapambane huko mahakamaninitashukuru kama atakuwa ameenda kupiga magoti wabadilishe vipengele vya mkataba. ila inatia huruma sana kwamba Rais wa nchi ahangaike hivyo kwa mwekezaji, badala ya mwekezaji yeye aje hapa baada ya kuona malalamiko, rais wa nchi ndio anaenda. si mnaona tulichokuwa tunasema utumwa ndio huu sana, tumeanza kuhangaika kwenye mali zetu sisi wenyewe. mwarabu kakaa kimyaa anasubiri sisi twende tukapige goti na akiwekez ahapa tutamlinda na kumwabudu. natamani iwe kweli, aende kwa waarabu akaongee nao upya, wabadilishe vipengele vya mkataba, wawekeze mambo yaendelee.
na kama kuna mtu alimpotosha, mama ajipimbe, amshughulikie na kumweka naye mbali. wanamtesa tu mama wa watu, kwasababu ukimwangalia kwa makini unaona kama ana nia nzuri tu ila wanampotosha. hadi wanawake wenzie washageuka wanasema asiwaaibishe ili siku ingine mwanamke akitaka kugombea waseme huyu alionyesha mfano mbaya. hivi leo hii mwanamke anagombea urais unafikiri atapata? mama aonyeshe kwanini wanawake nao wanastahili uongozi, aonyeshe makeke yake sasa. fanya maamuzi magumu hadi wanaume tukuone.Awateme tu mazima. Kama kesi tukapambane huko mahakamani